Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni Msaada wenu wa ku unlock hii simu aina ya HUAWEI C2281. Niliinunua simu hii TTCL na ilikuwa inatumia line ya TTCL MOBILE. Sasa hivi siitumii tena kwa hiyo imekaa hapa home kama skrepa tu...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
kuna mtu aliishika simu yangu akaweka password kwenye memory card haifunguki kabisa inanitaka niweke hizo pswd sizifamamu. nimejaribu kuiweka kwenye computer haionekani kabisa. ndo ilo tu wakuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi sioni kwanini nikatae kumsaidia mtu ambae anahitaji msaada kwa kitu nnachokijua au ambacho kiko ndani ya uwezo wangu. Mtu anaandika anauza program ya kuconvert video to mp3 is that fair...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
nimenunua hiyo sm htc dream yenye os ya android wiki iliyopipa tatizo inahitaji google acount na kila ninapocreate inafail kwa kuandika temporary error contact customer service, sielewi nifanyeje...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndg zangu naomba kujulishwa je haya madish ya tv yapo ktk mfumo gani ni analog au digital ?. Na je pindi serikali itakapostopisha mitambo ya analog, je na wenye madishi itabidi wanunue vingamuzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari... Naomba kuuliza hivi inawezekanaje mtu anasoma msg zote zinazoingia katika simu yako afu ye anasoma kwenye simu yake hizo msg..... Mfano. we una simu yako msg zote zinazoingia kwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hey guys, kuna mtu yoyte anajua or anasoftware ya kudownload google books? please msaada wenu, NB Dont tell me to buy google downloader as I don't pay for programs and guess what (you should'nt...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
wanajamvi, samahani naomba kusaidiwa kama kuna websites nazoweza kutumia kuona tv stations za tanzania yaani itv, star tv, channel 10, na tbc (watch live on line)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu niko kikazi geita toka last week! kuanzia jana hadi leo kamodem kangu hakapati network, nikajaribu kuingia kwa handset voda internet hakuna kitu. Wenyeji wanasema sometimes hata mtando wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Windows Media Player haifunguki, nini suluhisho?
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Nadhani ushawahi kukutana na windows installation setup ambayo haifanani na ile original ya microsoft. Zipo nyingi mfano, black xp, lite xp, lite vista, lite 7, vista xp, n.k! Leo nataka kushea na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
I think,for reasons known better to me,it is high time i changed my username herein..naweka jina langu halisi kabisa from now on! Sa tatizo sijui how to go about it,mwenye kujua please..
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu teknolojia niakua lakini lluga yetu ya kiswahili bado kiko nyuma. Kama watanzania tunatakiwa tuuganishe nguvu na tushirkiane na kujitolea japo tuwe na ka gruop hapa JF ili tutengeze...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Jmn thread moja hv. Ilikuwa inazungumzia kuhusu IMEI namba za Nokia pia ikaongelea kwamba nokia ambayo 7th 8th imei zake ni 02,20 ndio halali, msaada plz kama kuna mtu anaweza kuiweka tena hapa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hivi wadau window 8 ishatoka au bado maana nareceive alot of messages nakuona advertises zake sehemu mballimbali au kama bado kwa yeyote anayejua inatoka lini si vibaya pia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu tunajua huwezi tengeneza computer program au software bila kuwa na tool ya kuweza kuconvert source codes kwenda objects. Sasa hizi modern O.S zinatengenezwa kwa compiler ya language flan say...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada jinc ya kutoa
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wajameni....Kutokana na matatizo na gharama za Maji nafikiria ku-recycle na kutumia tena Maji yaliyotumika kufulia nguo kwa kuyarudisha tena ndani ili ku-flush toilets etc.. Naomba msaada wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau mambo zenu, naomba kwa anayefahamu anielekeze jinsi ya ku unlock i phone 3. asanteni kwa ushirikiano wenu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ok wakuu nimeona vyema tujadili kidogo kuhusiana ni hili jambo nadhani baadhi mtakuwa meshaskia kuhusu web phishing na wengine mnajua ni kitu gani na wengine mnalisikia tu hili neno na kujua...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom