Plz msaada wa hizi keys! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plz msaada wa hizi keys!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Mar 2, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Msaada wa serial key za ashampoo burning studio 9.
   
 2. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ashampoo burning studio 9
  Ashampoo burning studio 9 : BRS9AD-103150-7CD858

  Ashampoo burning studio 9.2: BRS9N7-77QA50-MVR856


  give me feedback........
   
 3. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Thanks hii ya kwanza ashampoo burning studio 9 imekubali! Bt naomba kujuzwa naona inakuwa inaextend trial period for another 20 days vp inamaana afta 20 days inabid niingize tena key au kuna uwezekano wa kubuy plz naomba maelezo khs hayo mi sipo aware sana khs hz keys for trial or buying!
   
 4. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hizi software ni biashara so watengenezaji wanakupa muda usiozidi mwezi uitumie for free ili uone kama itakufaa..ule muda ukipita basi software itaacha kufanya kazi vile inavyotakiwa kufanya na baadhi nyingi hugoma kabisa na kukuambia ukitaka kuitumia uingize keys.. sasa kwa kawaida kwenye nchi za wenzetu hizi software zinanunuliwa na kama mimi nimenunua siruhusiwi kushare na mtu mwingine..kucopy na uchakachuaji wa software yoyote ili iweze kutumika for free na mtumiaji ambaye si mnunuzi ni kosa kisheria na hii kitu huitwa software piracy.hizi sheria zinafanya kazi sana kwa nchi zilizoendela huku kwetu hakuna mtu atakaye kufuatilia.na hata hizo nchi zilizoendelea wengi nawenyewe wanakula vya bure tu na ndo wao wanaoziweka kwenye internet baadhi ya software zikiwa zimechakachuliwa zitumike for free..
  sasa hizo keys ukiweka zikakubali ndo huwa kama ufunguo wa mlango ambapo ukifungua mlango tu basi unapata access ya kitu chochote unachotaka kutumia ndani..
  Kwa hii case yako mimi haijawahi kunikuta ila kuwa na moyo wa subira hizo siku ishirini tuone itakuwaje ndo tutajua cha kufanya...kama siku 20 zikipita software yako ikagoma basi ingiza key upya.
   
 5. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mimi ninaashampoo burning studio 7 na sio kwamba nimeinunua but nimeidownload tu alafu nikaingiza na keys kitu kikakubali..na software nyingi kama key ikikubali basi haikupi limiti ya siku za kutumia. utaweza kuitumia kwa muda wowote unaotaka..sema jamaa wa anti-virus ndo huwa keys zao (ukinunua original) wanakupa mwaka mmoja tu..hii ni sababu wao wanafanya biashara ya kukuprotect na kila mwaka wanatoa anti-virus mpya ..nadhani tunasomana
   
 6. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Thanks sana skillseeker!
   
 7. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Asante kwa kushukuru G spanner..Pamoja
   
Loading...