iOS 5.0.1 Software Update

andycachy

Member
Mar 31, 2010
83
18
nimejaribu ku update iphone to hiyo iOS 5.0.1 ime download for hours then ikaniambiia imefail then kuna applications

zimegoma kufanya kazi baada ya mimi kujaribu hivyo , facebook, skysports hazifanyi kazi kabisa msaada please wanajamii
 
Cha kukushauri kwa nini usidelete then ukazistore upya through itune store but make sure una account.Uzuri siku hizi unaweza ukafungua kwa free account kama huna fungua
 
Back
Top Bottom