Msaada kuhusu opera mini

Saskatchewan

Senior Member
Oct 16, 2011
148
21
Simu yangu ni Nokia 6303 classic nlikuwa natumia Opera mini 6.5 lakini kwa sasa imegoma, haifunguki yaani ime'collapse'. Nifanyeje niweze kuirekebisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom