Quality hd movies download tricks

Quality hd movies download tricks

Troo

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
41
Reaction score
10
Kwa wale wapenzi wa Moviez za nje wanaopenda KuDOWNLOAD kupitia TORRENT SITE Mbalimbali. Vifuatavyo ni vipufupisho vya majina yanayoandikwa mwisho ya majina ya movies kuonyesha ubora wa picha&sauti za movies hizo (CAM, R5,TS, DVDscr, DVDrip,LINE, Xvid e.t.c).
Mfano.
[h=1]1-Immortals.2011.R5.XviD-ViSiON[/h][h=1]2-Mission Impossible 4 Ghost Protocol 2011 CAM READNFO XviD-BiDA[/h][h=1]3-Johnny English Reborn (2011) DVDRip XviD-MAXSPEED[/h][h=1]Sasa hapa kikubwa ni kujua kwamba CAM ni kifupicho kinacho maanisha hiyo movies mtu aliichukua kupitia Camera akiwa ukumbi wa cinema kwa hiyo lazima itakuwa na poor quality hasa audio unaweza sikia hata background noise!.[/h][h=1]R5- inamaanisha DVD Region 5 huu ni mfumo ambao hutolewa kutumia telecine machine kutoka ktk chanzo cha analogy cha movie hiyo na huwa zinatolewa kabla ya movie kumalizika kutolewa ktk mfumo wa digital wana fanya hivi kupambana na Movies piracy. R5 huwa zinakuwa chafu zaidi ya CAM.[/h][h=1]LINE- hii humanisha aliyeUPLOAD hyo movie alitumia R5 lakini aliunganisha waya ktk ukumbi wa cinema ilia pate audio ya movie tu! Na siyo background noise.[/h][h=1]TS=CAM- lakini TS(telysync) hutumia hutumia LINE kwa ajili ya kuchukulia sauti kutoka ktk chanzo cha nje tofauti na ukumbi wa cinema.[/h][h=1]SCR(screener)- hizi VHF tape za utangulizi hupelekwa ktk maduka kwa ajili ya promo ila ktk movie screen huwa ni 4.3 na inakuwa na utepe wa copyrighty msg inayotokea kila mara.[/h][h=1]DVDscr hii humaanisha hiyo movie wameiRIP yaani wameifyonza kutoka ktk VHF tape na DVDrip sasa hii wanakuwa wameiRIP kutoka ktk DVD rasmi ya mwisho kutolewa.[/h][h=1]Xvid na DviX hizi sasa movie zake wanakuwa wameziENCOD ni kama wameziConvert ktk mfumo wa Avi…Xvid na DviX ni mfumo wa codec ambao hata ripper humuwezesha kuRIP kwa uraisi hizo movie anazo taka kuUPLOAD[/h][h=1]Kwa hiyo Screener ndio wanaongoza kutoa movie safi zenye high quality kupita CAM,TS na R5.[/h][h=1]Hakikisha Movie unayoDOWNLOAD mwisho in neno DVDrip au DVDscr ikimaliziwa na neno Xvid au ina neno moja tu Xvid. Kwahyo ktk hzo movie tatu hapo juu John English(2011) ya Mr Been ndio ina picha Safi na sauti nzuri tu!.[/h][h=1]N.B kwa wale wapenzi wa SPARTACUS season 2 episode 6 imetoka ijumaa iliyopita tusubirie makubwa kutoka kwa GANNICUS ktk episode 7 ijumaa ya wiki hii.[/h][h=1]Thanx.
[/h]
 
mbona nilinunua season 2 kwenye cd za wachina ina ganicus mpaka alipoachiwa
 
naomba msaada wa kupata jins ya kudowload kupitia toreent na jins ya kuzipata hizo movies
 
Thanx mkuu,ni kweli DVDrip zina quality nzuri sana,pia mie nadownload sana *.avi,*.mkv na *.mp4
 
Haha!Kumbe kuna wapenzi wa Spartacus na humu!!!Hellow!!
 
SPARTUCUS Haina tofauti hasaaaaa na porn!! high nudity movie i hv ever seen, dah labda ui angalie ukiwa peke yako!! haitizamiki na family spartucus
 
Ili Uweze kudownload Movie ktk torrent unatakiwa kwanza uwe na ( Torrent Download manager client ya P2P) yaani P2P ni mfumo wa kushare Data(music,software,movies n.k) kwa wale watu wasio na uwezo wa kununu na mfumo huu unaitwa WAREZ(japo ulipingwa sana sababu watu hawana haja tena ya kwenda nunu ANTIVIRUS wakati kuna hzo hzo za Bwerereee watu wanagawana umaskini)...P2P yaani Pear2Pear inamaanisha kuna watu(seeder) mfano ktk P.C zao wana MOVIES wewe(peer) unaweza kuzidownload kama umeiINSTALL hyo Torrent Download manager ambazo zipo nyingi mfano Bitcomet,Utorrent,Bittorrent,Vuze zamani Azurez,mediaGet ukiwa nayo moja kati ya hizi tena hazina Mb Size kubwa we nenda google type kati ya hizo ila nakushauri cheki BitComet iko poa zaidi ukisha install nenda ktk torrent site mfano Isohunt,Kickass torrent,mininova,thePiratebay na torrentz uanze kushusha(kudownload) movie,music,software n.k.
 
Mdogo wangu hawezi angalia SPARTACUS anasema zinaMwamsha Mwemhuko+Nyege na hisia za kingono ila mim naipenda sana kwa Mtiti(ACTION) Zake pale wanapopigana inakuwa shughuli haswa...BLOOD N SAND ndio ilikuwa chafu sana.
 
Kwa simu itakuwa Issue coz Mfano movie ya kawaida ina Size ya 700Mb movie safiiiiiiiii unakuta ina 1.45Gb sasa je si yako memory card ina G.b ngapi! hata tulio na memory card ya 4gB ktk simu zetu bado ni issue pia...achana na hilo pia speed ya simu ktk net inakuwa ni ndogo kuliko P.C...alafu download manager nyingi hazipo ktk mfumo wa mobile 4ne.
 
ILE YA GANICUS SIO SEASON 2 inaitwa PREQUEL(yaani inaelezea story ilikuwaje,ilitokeaje ni FLASHBACK2) na ilitolewa baada ya Andy Whitfield(spartacus)alikuwa anaumwa ikasimama kwa muda wakati akiwa anatibiwa ndio wakaamua kurusha GOD OF ARENA kusubiri spartacus apone lakini ndio hivyo akafariki(R.I.P) sasa SEASON 2(SPARTACUS VENGEANCE) ndio imeanza kuonyeshwa january 27 akicheza Liam McIntyre kama Spartacus sasa hivi imefika episode 6 na kesho inatoka episode 7
 
Back
Top Bottom