Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Mkuu heshima kwako. Naomba niulize ni kwa jinsi gani naweza kufanya installation kwa komputer 100 concurrently coz kuna dili ya siku moja nimepata hivyo waujanja yanahitajika ili niweze pesa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Yani leo nimekutana ya website ya ajabu, yani sijui kama this organization wana mtu wa IT na kama yupo he is a total disgrace to the IT community!! Hii hapa chini ndio webpage yao yani sijaedit...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Nimedownlowad movie yangu lakini nimeshindwa kuiplay kwani inataka funguo (password) ili kupata accsess, tafadhali mwenye maujanja ya kuivunja anijuze. Nitashukuru.
0 Reactions
5 Replies
941 Views
Nimetengeneza website www.rahamix.tk na ningependa muitazame na kunipa mtazamo wenu. kama ni makosa au kitu kiongezwe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wakuu wanaotumia hii torrent downloader, napenda kuwapa username yangu :chavinski na password: frosty75, kwaajili ya fast downloads. nina cheo cha leutenant so inasaidia kudownload fast. enjoy...
1 Reactions
2 Replies
959 Views
Wale mnaotumia opera mini kwenye simu zenu, Opera Software ASA wametoa opera mini 7 kwa ajili ya java na blackberry phones. Hii ni upgrade ya opera mini 6.5. Awali walitoa opera mini next ambayo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau za weekend Siku za nyuma kidogo niliwahi kuona pahala kuwa kuna configuration ambazo waweza kufanya kwenye simu yako ili hata ikiibwa utaweza kutress na kijua ni nani anatumia simu yako kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau tatizo langu katika laptop ni driver ya VGA kila niki install hiyo laptop inakuwa nzito sana na inaanza kuganda lakini nikiitoa inakuwa nyepesi please nifanye nini ili niweze ku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina printa 1 nataka ku configure ili nitumie kwenye pc zangu 3...then nahitaji kuwa na vitu gani katika hili.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ndio raha ya Ku-master kuitumia Adobe After Effect.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
wakuu file zangu zote ambazo ziko kwenye folder zimeingiliwa na file linaitwa desktop i.i ambalo zinafanya folder kuonekana tofauti, msaada wa jinsi ya kuliondoa
0 Reactions
0 Replies
653 Views
wadau since math ni science nmeona ningize huku hv ni kwa nin wa2 weng wanaikhmbia math FEEDBACK PLZ
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu. Naomba kujua tofauti ya modem za airtel za sasa na zamani na zipi ni bora.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salaam kwenu. Naomba msaada namna ya kuunganisha Zantel modem kwenye mac (OS 10.7 Lion). Nilijaribu kutumia maelezo kutoka pasamio.com "Getting ur Huawei modem working with Mac OS X Lion" na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
my fellow great thinkers, natumia laptop aina ya Toshiba juzi kati kuna mtu aliiomba kwa masuala ya kazi si unajua Serikalini bwana kuna baadhi ya maeneo ya kazi kama yetu resource kama computer...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tommorow, the world will witness a rare phenomena when planet venus transits across of the sun.this is the seventh time this is happening since 1610. The next time this will happen will be...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
For Tanzanian Developers do not miss this event! knowcache: 9th of June, 2012 - Google+ APIs Hackathon: Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Naomba msada watalaam, nimedesign website kwa kutumia Frontpage nimeenda ku host lakini picha hazidesplay,siku zote natumia Dreamweaver lakini zamu hii nikataka kuijaribu frontpage sasa picha...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Tangu wakuu wa JF kubadilisha baadhi ya mambo hapa jamvini, wamebadilisha pia na mifumo iliyokuwa imezoeleka na haisumbui wateja lakini pia wameingiza vitu vipya vinavyosumbua watumiaji wa jukwaa...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Top desktop threats Trojan:Win32/Sirefef.AC Trojan:JS/IframeRef Worm:Win32/Conficker.B Worm:Win32/Conficker.C Virus:Win32/Sality.AM Exploit:Win32/CplLnk.A Virus:Win32/Sality.AT...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Back
Top Bottom