Phone security | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Phone security

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Eeka Mangi, Jun 2, 2012.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wadau za weekend
  Siku za nyuma kidogo niliwahi kuona pahala kuwa kuna configuration ambazo waweza kufanya kwenye simu yako ili hata ikiibwa utaweza kutress na kijua ni nani anatumia simu yako kwa sasa. Naomba msaada as jana tu shemeji yenu wamekwapua ofisini kwake iPhone yake na hakuna matumaini ya kuipata. Ninalazimika kuanza kujihami sasa. Features hizo ni gani kwa samsung, iPhone na HTC. Thanking you in advance
   
 2. Wonderkid

  Wonderkid Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wap73.com if nt face tigo 4 mo help
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Samsung...most of them zinakuja na inbuilt application inaitwa mobile trake na nyingine kwenye setting za security utakuta section ya find my mobile.pia kuna free application nyingi unaweza kudownload from play store(zamani ikiitwa "Market") na hii ni applicable pia kwa HTC kwani zote za sasa zinatumia OS ya Android
  Iphone....kwa Iphone 4na 4S go to settings then location services hapo utapata Find my phone na kuset.pia kuna application zinapatikana from app store unaweza kudownload(needs to have iTunes account)
  Nokia...kwenye Ovi store utapata track& Protect na zingine nyingi kulingana na version ya OS yako
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Nokia symbians tumia Wave secure
   
 5. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  pia tafuta netqin antivirus. Inasehemu ya kutrack cmu. Na kwa ku2mia cmu nyngne unaweza kucomand either i ask pasword, unaweza ku comand ipige alarm na watakuletea map sehemu 4n ilipo.
   
 6. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  theftaware iko poa....ninaitumia kwenye symbian but sina uhakika kama inapatika kwenye android na os nyingine
   
 7. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 8. e

  elank54 JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Blackberry vp?
   
Loading...