Tofauti ya modem za zamani na sasa za airtel? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya modem za zamani na sasa za airtel?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MsakaGamba, Jun 4, 2012.

 1. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakuu.
  Naomba kujua tofauti ya modem za airtel za sasa na zamani na zipi ni bora.
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,782
  Likes Received: 7,096
  Trophy Points: 280
  za sasa bora na ubora wake zina 7.2 mbps speed na za zamani speed ni 3.6 mbps.

  Ila kama unataka nunua hizo modem ni bora ukanunua za vodacom maana voda modem mpya ni huawei e173 kama airtel modem mpya pia ni e173 ila different za voda zinachakachulika.
   
 3. c

  cc_africa Senior Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata za airtel zinachakachulika ila hapo kwenye 7.2mbps ina saidia nini kama prov wako anakupa 512kbps.
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,782
  Likes Received: 7,096
  Trophy Points: 280
  Tell me unachakachuaje ukitoa dc unlocker ya kulipia, nimejaribu ku update firmware inashindikana pia.

  Kwa voda kuna eneo napata 800kbps
   
 5. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo ina maana mnapokuwa kwenye mtandao mwenye modem ya zamain anapigwa bao na mwenye modem mpya (hizi za sasa) bila kujalisha kuwa mtandao unatoa 3.76g? Mkuu mkwawa hebu niwekee sawa hapa naona kuna tenge.
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,782
  Likes Received: 7,096
  Trophy Points: 280
  Yani hapa unatakiwa uelewe hivi kwenye modem ya 3.6 mbps mwisho speed ya kudownload ni 450kbps na ukiwa na modem ya 7.2 speed ni 900kbps

  Kama mtandao unatoa huduma ya slow speed modem zote zinakua sawa ila tofauti huja pale mtandao unapotoa fast speed modem ya 7.2 itamshinda ya 3.6
   
 7. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Chief - mkwawa hapa nimekusoma mkuu! Nashukuru sana kwa maelezo yako. Natumaini hapa mleta hoja ataridhika na maelezo yako.
  Pamoja sana kamanda.
   
Loading...