Heshima kwenu.
Mi naomba kufahamu kuna uhusiano gani kati ya matumizi ya umeme na the so called "tariff"?
Ukiangalia risit za kulipia LUKU, chini kabisa kuna sehemu imeandikwa tariff...
Hii laptop inapata moto sana, imepungua speed ya kufungua mafaili na kudownload, inagoma kuinstall antivirus na inavuma kwa sauti sana. Nimeitumia kwa miaka 4 sasa na ilikua safi kabisa, matatizo...
Habari zenu, nimeshangazwa na hizi laptop zangu 2 moja ni Dell Latitude D630
na nyingine ni Dell Insipiron 6000. Huwa nikiweka modem kwenye D630 inashika
vizuri kuliko Inspiron 6000 ambayo huwa...
nilikua natumia tab yangu ya acer iconia A200 jana, ikawa betry low (5%) so nika plug ktk charge then nikaendelea use. baadae kidogo nika switch off (ikiwa bado ktk charge) then nikaiacha kama...
1. The Morris worm
In 1998 Robert Morris, a university student, unleashed a worm which affected 10 per cent of all the computers connected to the internet (at the time the net was estimated...
OKAY PEOPLE NIMEONA NI BORA NIWATAARIFU NA NYIE ILE MUWEZE KUFURAHIA HUDUMA HII.
SWALA LA WEB HOSTING LINAWAUMIZA WATU WENGI SANA HASA PALE WANAPOFIKIRIA MALIPO. JE UTAJISIKIAJE KAMA UTAWEZA...
tangia zaman sana nlikua nackia na naendelea kuckia habar za vijiji vya sayansi ulaya yani vijiji kama vya uvumbuzi wa silaha, magari. Ndege, software e.t.c sio kuvumbua tu hata kuendeleza pia...
Wadau nilipoteza kiaina ile modem yangu ya k3571-z so nikawa kiguu na njia kusaka nyingine nichakachue dhen kukamua line zote.
Nimezunguka Shop zote za karibu nikakuta hii kitu haipo tena badala...
Wadau nilipoteza kiaina ile modem yangu ya k3571-z so nikawa kiguu na njia kusaka nyingine nichakachue dhen kukamua line zote.
Nimezunguka Shop zote za karibu nikakuta hii kitu haipo tena badala...
Nimejaribu kusaka katika tovuti za makampuni ya simu hapa nchini lakini sijaona link hata moja itakayonipa undani wa mameno hayo. Nahisi nikiyajuwa/tukiyajuwa yataleta mwamko kwa utumiaji.
You can now greet by name two new residents of the period table of elements: Flerovium and Livermorium.
The International Union of Pure and Applied Chemistry officially approved names for the...
Wadau,
Nilikuwa naomba msaada kidogo kwa wale wenye uzoefu wa haya mambo.
Ni printers za aina gani za size ya kati(siyo heavy duty wala tudogo kabisa) ambazo zinafaa ku print brochures/vipeperusi...
Tuna kikundi cha kusaidiana na tuko katika mpango wa kukopeshana.Sasa wanaumoja wanataka kikundi kiwe na utunzaji wa data zote za chama wa kisasa( kutumia computer). Sasa basi nimeona nijaribu...
Quashing myths about old people smell, research finds we can tell peoples ages from their smell, and that younger people smell worse Old people do have a distinct smell, but contrary to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.