Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

wakuu, imezoeleka mtu anapoformat computer, hata kama alizifuta data zake zote, lakini akifanya back up, data zote anazipata. swali la kujiuliza, unapofuta, data hizo zinaenda wapi? na kama data...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Naomba mnisaidie nina shida ya kufungua inbox sms kwenye simu ya sony ericson P990i. Kila nikifungua inanipa ujumbe wa "APLICATION CLOSED" reason code 130.
0 Reactions
3 Replies
738 Views
Wakuu Nina iPhone,8GB,je naweza kuitumia kwenye laptop kuniweka hewani kama vile modem?????msaada tafadhali!!!!!
0 Reactions
46 Replies
4K Views
nokia e51 wananiambia hawana new update yake na yangu iko outdated nisaidieni na link if posible
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Habari wana JF. Natafuta drivers za web cam ya sony VAIO laptop model VGN-CS21S/R. Laptop ina Windows 7. Nitashukuru kuipata..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I recently got a page which sells mobile phones in UK and quite frankly the prices are a bit scary so i wanted to know if anyone has already tried buying and succeeded because you have to pay...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Wadau wa Science on JF,naomba kwa anaeweza anisaidie hili,Nina simu ya BlackBerry,sasa tatizo lake ni kua nikijiunga na bundle ya internet zile service books haziingii katika simu after...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
There could be many reasons why you’d want to troubleshoot your computer, well, one actually and that’s because something is not working right. The process of troubleshooting is something you...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
jamani nimeweka window 7 nimekosa sound driver mwenyenazo jamani naomba watu wangu
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Heshima kwenu wataalam, Mimi nimekuwa nikijaribu in vain muda wote kudownload watsapp application kwa simu yangu LG X330T..nikaambiwa eti watsapp haikubali kwa simu za java. Je,hadi sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam wadau Kama swali linavyojiuliza...eti information ambazo ume-burn kwenye CD zinaweza kuwa-attacked na computer viruses, naomba elimu kwenye hili!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jaman mm leo katika kuperuz in different blogs nkaona hii kitu. Kuna anae ifahamu hii ! [okkomadewal.com/2012/06/change-your-desktop-as-3d-shock-desktop.html?m=1] :ranger:
0 Reactions
4 Replies
905 Views
Wakubwa, naomba msaada wa jinsi ya ya kutumia SPSS hasa upande wa ku enter VARIABLES
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mkuu heshima kwako. Naomba niulize ni kwa jinsi gani naweza kufanya installation kwa komputer 100 concurrently coz kuna dili ya siku moja nimepata hivyo waujanja yanahitajika ili niweze pesa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Yani leo nimekutana ya website ya ajabu, yani sijui kama this organization wana mtu wa IT na kama yupo he is a total disgrace to the IT community!! Hii hapa chini ndio webpage yao yani sijaedit...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Nimedownlowad movie yangu lakini nimeshindwa kuiplay kwani inataka funguo (password) ili kupata accsess, tafadhali mwenye maujanja ya kuivunja anijuze. Nitashukuru.
0 Reactions
5 Replies
936 Views
Nimetengeneza website www.rahamix.tk na ningependa muitazame na kunipa mtazamo wenu. kama ni makosa au kitu kiongezwe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wakuu wanaotumia hii torrent downloader, napenda kuwapa username yangu :chavinski na password: frosty75, kwaajili ya fast downloads. nina cheo cha leutenant so inasaidia kudownload fast. enjoy...
1 Reactions
2 Replies
957 Views
Wale mnaotumia opera mini kwenye simu zenu, Opera Software ASA wametoa opera mini 7 kwa ajili ya java na blackberry phones. Hii ni upgrade ya opera mini 6.5. Awali walitoa opera mini next ambayo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau za weekend Siku za nyuma kidogo niliwahi kuona pahala kuwa kuna configuration ambazo waweza kufanya kwenye simu yako ili hata ikiibwa utaweza kutress na kijua ni nani anatumia simu yako kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom