Naunganishaje modem ya Zantel kwenye Mac?

Naunganishaje modem ya Zantel kwenye Mac?

Uprising

Member
Joined
May 25, 2009
Posts
51
Reaction score
27
Wakuu salaam kwenu. Naomba msaada namna ya kuunganisha Zantel modem kwenye mac (OS 10.7 Lion). Nilijaribu kutumia maelezo kutoka pasamio.com "Getting ur Huawei modem working with Mac OS X Lion" na kudownload 3connect Installer. Baada ya kumaliza niki-activate inasema "an error occurred with the modem. Try reconnecting. .."

Msaada wenu tafadhali.
 
Wakuu hebu nikwamueni kwenye hili tatizo nipunguze kutumia mobile phone kama ndo laptop lol!

Natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom