msaada wa kuziondoa quotes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kuziondoa quotes

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ntamaholo, Jun 4, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
  Tangu wakuu wa JF kubadilisha baadhi ya mambo hapa jamvini, wamebadilisha pia na mifumo iliyokuwa imezoeleka na haisumbui wateja lakini pia wameingiza vitu vipya vinavyosumbua watumiaji wa jukwaa hili. 1. Utaratibu wa notification za like, umebadilika kutoka ule wa zamani ambapo kusoma hiyo notification sasa unalazimika kwenda kwenye my profile ndo uweze kuiondoa. Mtu asipojiongeza kwenda kule, basi kila siku like notification zitajaa na ni kero kwa baadhi ya watu hata mimi. 2. Utaratibu wa private mesages, nao umebadilika jpokuwa huu hauna shida sana. 3. Utaratibu wa quotes notification, ndo mpya kabisa na ndio unasumbua. ukisha pata hiyo notification, kwangu mie nimeshindwa kuziondoa, sasa kila mara zimejaa na sipendi kuiona hiyo kitu. tafadhali kwa wenye ujuzi zaidi, nisaidieni ili qoutes notification niweze kuzimanage nb. zamani kulikuwa na namna ya kuchagua font, color na mengine, hayo siku hizi hakuna, tuyapateje? hata kupanga aya nayo inagoma, mbona hivi?
   
Loading...