Msaada-Jinsi ya ku configure printa kwenye LAN.,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Nina printa 1 nataka ku configure ili nitumie kwenye pc zangu 3...then nahitaji kuwa na vitu gani katika hili.
 
kwanza printer yako lazima iwe ni network printer, na hizp pc zako 3 lazima ziwe na network porp, tafuta Rj45, network switch, na network cable tafuta hivi vitu kama hapo ulipo hakuna Lan
 
mahali hapo pana local network? kama ipo, printer yako inahitaji kuwa na lan port na uunge kwa network then uki run setup disk yake itakupa mwongozo au kama ni usb pekee itabidi kufanya shared ila tatizo litakuja kama hiyo pc iliyounganishwa na printer iko off wengine hawataweza kuprint.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom