Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tuliambiwa baada ya kuzindua mkonga wa Taifa huduma za internet zitapungua.Sasa mbona wanatufanya tuwe tunakesha usiku kwa offer zao (Voda,Airtel n.k),wakati huo huo vifurushi ni ghali mno?Tunkuwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
WADAU NIMEONA WATU WENGI WANASUMBUKA NA IDM (INTERNET DOWNLOADER MANAGER) ,MASWALI YAMEKUWA MENGI HUTY NAOMBA KEY ,HUYU INANIAMBIA IME EXPIRE JIBU NI HILI DOWNLOAD IDM LAEST AMBAYO NI 6.12...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
habari wandugu,nimekwama na kazi flani,just because template ninayotumia kila siku leo imeninunia,can someone who is a long-time proffessional wa MS-Excel aniPM....i seriously need help on...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau naombeni msaada nikiweka hela kwenye line ya tigo inakata hela na kuniambia umejiunga na internet megaboksi sikujiunga nao wala nini. nifanyeje niweze ku-unsubscibe na hiyo service yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu window media player kwenye pc yangu hai play hizi dvd za blue ray sijui tatizo ni nini.naomba ufumbuzi wa tatizo hilo au majina ya media player nyingine nzuri zinazo play file formats nyingi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau naomba mwenye software ya Corel draw anisaidie ,nina shida mwenzenu Msaada pleaseeeeee.....
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Wandugu, mwenye idea au experince na Solr and/or Nutch anielekeze kidogo kwa lugha rahisi.
0 Reactions
0 Replies
717 Views
msaada kwa anaeweza tatua tatizo la internet kwa nokia asha,kila nikijaribu kuunga net inakata i have tried ever possible way nashindwa..msaada pls
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi guys, Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata genuine notebook: 2gb RAM, from 1.5 GHz, at least 250gb HDD (add more specs) kwa bei ya kawaida anipe habari tafadhali. Mdogo wangu anahitaji...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Kwa wale wanaotumia devices za Apple iwe iPhone au iPad tafadhali tembelea link ifutatayo ( App Store - JamiiForums ) ili kuweza kudownload free JF Application urahisishe mawasiliano yako wewe na...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Wataalamu wa maujanja tafadhari nisaidieni kuibangua hii modem ya vodafone ili itumie line zote? Vodafone model K3570-Z
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Habari Wanajamvi. Naombeni msaada namna ya kutatua tatizo hili. Nikiwasha Blackberry Curve 8900 inaleta White screen with the message "AppError 200" na chini yake inanipa option ya "Reset"...
0 Reactions
4 Replies
998 Views
Hii operamin ya vodacom bila shaka leo wametoa offer. sababu tangia asubuhi naingia jf na kutoka na sijakatwa hata shilling kumi kwenye simu. Vilevile ipo fasta sana. Nataka kujua ni kwangu tu au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za kazi wanajf wenzangu eti ni kweli kampuni ya startimes na wao wameleta vingamuzi vinavyofanya kazi kwa njia ya satelite.kuna jamaa yangu kanambia alisikia tangazo lao redioni.Na kama ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba msaada wa ios ya JF maana napata shida kutumia ya web
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habar wanajamvi! Computer yangu uwa ina stuck au nitumie neno jAM mara kwa mara nikiwa naitumie na inanilazmu kuizma coz sijui sehem ya kurekebisha...yeyote anaefaham msaada wake tafadhali
0 Reactions
1 Replies
883 Views
nilikuwa natengeneza tovuti kuongeza maarifa, so moja ya friends alipoiona akadai inaweza kugeuzwa kuwa profit making badala ya kuifanya kiutani... guys hebu pitieni Mtaa Wa Saba Classified...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
youtube inaonesha mchelemchele(chengachenga) kupitia yale maujanja yetu ya voda.........help please
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Jamani nina siku karibu sita modem ya voda inanisumbua, nikiweka kwenye computer inaonyesha kuwa inaonyesha rangi nyekundu mda wote. Haikubali kukonect na kila nikiweka tatizo linakua hilo hilo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu tuliambiwa kuwa kuanzia septemba hii jamaa wa star tv waangeanza kurusha matanganazo kupitia mfumo wa digitali, lakini naona tunaingia octoba sasa. Vipi jamaa wameishia wapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom