Msaada wa driver ya VGA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa driver ya VGA

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sayicom, Jun 3, 2012.

 1. s

  sayicom Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wadau
  tatizo langu katika laptop ni driver ya VGA kila niki install hiyo laptop inakuwa nzito sana na inaanza kuganda lakini nikiitoa inakuwa nyepesi please nifanye nini ili niweze ku install na hilo tatizo lisiwepo?
  Pleaz natanguliza shukurani LAPTOP NI DELL LATITUDE D531
   
 2. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,111
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  kachome cd ya universal drivers au unaweza kuidownload hapa Link 1.rar na hapa Link 2.rar ukishamaliza weka kila ki2 ambacho kipo kwenye separated filez vyote viwe ndan ya file moja kisha right click my computer nenda kwenye Manage halauf ingia device mangerao hapo ndio inabid uright click na ku update kila ki2 kwa kubrowse hiyo driver folder ukimaliza restart nadhan ukiingia tena kwenye device manager utaona v2 vmeongezeka navyo viupdate ukirertart tena nadhan u r a gud to go.
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  inawezekana sio compatible na os unayotumia, nakushauri ingia Dell Official Site - The Power To Do More | Dell alafu support & driver hapo utachagua model ya pc yako na os unayotumia na utaweza kushusha moja kwa moja driver toka chanzo sahihi.
   
 4. s

  sayicom Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shiny na Never Giv up thanxx ngoja nijaribu then nione Poa
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nenda my computer>properties>device manager>display adapters>properties>details kisha palipo andikwa property, u scroll to hardware ids then ucopy maandishi yatakayokuja hapo chini yanayoanza na maneno pci/ven uni pm hayo maneno nitaweza kujua aina ya vga yako na kama ina mashida yeyote na pia nitaweza kukuelekeza the best drivers for it. plus unijulishe O.S unayotumia
  nimeweka snap sample kutoka laptop yangu uone nilivyofanya
   

  Attached Files:

 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Ngoja NIMRAHISISHIE KAZI
  [​IMG]
   
Loading...