web Camera

Nguchiro

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
364
31
my fellow great thinkers, natumia laptop aina ya Toshiba juzi kati kuna mtu aliiomba kwa masuala ya kazi si unajua Serikalini bwana kuna baadhi ya maeneo ya kazi kama yetu resource kama computer ni bidhaa adimu kanirudishia nikataka kutumia Web Camera inagoma, picha haipigi, hata nikitaka kuwasiliana na watu kama zamani inagoma, help needed pliz
 
Jinsi ulivyoeleza inakuwa ngumu kufahamu kama tatizo na camera yenyewe (hardware) au progran yake (software) jaribu kuainisha ujumbe unaopata unapofungua application yake
 
hiyo program inafunguka bila tatizo pia kuna taa pale kwenye camera inawaka uki-command ipige picha na mlio unasikika ila hakuna picha inayokuwa displayed ila kuna default picture ambayo hutokea meaning ukicommand ikupige wewe picha 10 times zinatokea hizo default pictures 10, kuna software yoyote ya kuinstall ili kurepair hiyo program, seriously hii kitu inanipa headache maana nakosa mambo mengi
 
Back
Top Bottom