Inshort rudi blog ulodownloadia mara nyingi password ni jina la blog.
Jaribu kuangalia jina la hilo ziped file maybe unaweza pata mwanga
Pia unaweza rudi kwenye website ulodownloadia kama ulisearch google.
Mfano ulidownload link www.mediafire.com/?hahfkalfafd just paste hio link google maybe utapata hio blog.
Njia nyengine paste jina la hiyo zip google maybe utapata hio blog.
Alternative ni kudownload crack ya zip na rar ambayo inaweza chukua wiki kucrack password 1 sometime mwez au usipate kabisa