CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,789
- 1,782
Wale mnaotumia opera mini kwenye simu zenu, Opera Software ASA wametoa opera mini 7 kwa ajili ya java na blackberry phones. Hii ni upgrade ya opera mini 6.5. Awali walitoa opera mini next ambayo ilikuwa katika majaribio. Na sasa baada ya kupokea maoni na kufanya marekebisho fulani fulani (bug fixes) wametoa hii final version ikiwa 7. Changamkieni!