Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hello bosses and roses.... "Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua au kuweza kufikia...
19 Reactions
109 Replies
11K Views
Kampuni ya Samsung iliachia simu ya Galaxy A14 iliachiwa January 12 2023 ni simu nzuri ya bei nafuu yenye muonekano mzuri kuanzia kioo ,kamera, software update support ila utendaji wake wa Kazi ni...
4 Reactions
4 Replies
5K Views
Hellow wakuu za nyakati hizi Naomba mwenye ujuzi wa jinsi ya kupata namba za nchi za nje kwa ajili ya kujiungia whatsapp Niliwahi kutumia primo app kwaajili ya kupata namba ya marekan lakini sasa...
0 Reactions
29 Replies
20K Views
Kwa wale wasio na mambo mengi mfano wanaandaa tu ripoti ya mauzo excel inawafaa lakini utawakuta kuna hawa wafanya biasahra wana mafaili kibao ya mauzo, madeni, stock, matumizi, n.k. bado...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
The two engine types are quite different however. While both have similar internals, the big difference is the way the fuel is injected into the engine. With the VVTI engine, fuel is injected into...
4 Reactions
122 Replies
97K Views
  • Poll Poll
http://youtu.be/hHhPmRHvMRI Unit- 1 Website ni kitu gani ? Kwa tafsiri ya haraka haraka tunaweza kusema kuwa website ni mahali panapotumika kuhifadhi webpage moja ama zaidi. Hii elimu inaweza...
24 Reactions
112 Replies
40K Views
Wakuu nilikuwa natumia yo whatsapp, nimepigwa ban kama inavyoonekana hapa chini. Namba hii ni muhimu sana kuwa whatsapp. Nitumie ujanja gani kuifungua?
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau, Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna anaejua ku unlock hii pc na ku install Windows. Imekuwa locked na pia inatumia chrome os.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo. Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms. Chief-Mkwawa
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuata hatua watakazo ila.code sipati? Msaada
0 Reactions
7 Replies
605 Views
Ndugu zangu kwema? Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600 au ina kikomo? Msaada kwa anayefahamu. forgive me.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Ndugu zangu nahitaji kufahamu kama laini za Airtel hazikubali kwenye simu ndigo ya kgtel maana nikiweka kwenye simu nyingine inakubali vizuri lakini nikiweka kwe simu tajwa...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wataalam simu yangu imekataa kuondaa alama ya earphone. Hata nikichomeka earphone na kutoa bado alama hiyo haitoki. Hali hii imesababisha hata kukata sauti kwenye spika ya simu Ninaomba msaada...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari WanaJf, Nashindwa kujiunga we chat, kila nikijaribu inagoma ku-verify inataka ni-scan QR code. Naomba msaada wakuu.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu kwema? Naombeni msaada jinsi ya ku update app ambayo nimepakua kupitia Google na sio Playstore. App kama GB Instagram. Msaada kwa anaefahamu. Forgive me
2 Reactions
5 Replies
802 Views
Habari wakuu Leo ningependa kuongea na wadau ambao wanapenda kufanya electronics. Tufahamu kuwa technolojia inakuwa kila siku kwa speed kubwa sana lakini.. kitu kizuri ni kwamba katika kanuni...
7 Reactions
15 Replies
4K Views
Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji. Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine ,mana mm natumia whatsApp officiall ambayo ni whatsApp messager, juz waliniban nikawaomba walinifungilia nikazisoma...
0 Reactions
4 Replies
738 Views
Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom