Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu Msaada, Kwa aliyewahi kupitia kadhia hii, alipataje ufumbuzi. Nimekuwa nikiwatumia e-mails, na ujumbe kuwaomba wafungue account yangu, ikifunguliwa haizidi 48 hours inafungwa tena...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu siku kadhaa nilipost kuwa nimeanza kujifunza python. Nashukuru wadau walinipa mwongozo. Kuptia python niliweza kuweza kuelewa rahisi kidogo C++ kuliko awali nilikuwa sielewi kirahisi. Naweza...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen. KUPERUZI SIMU KWA...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
19 Reactions
428 Replies
32K Views
Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote. Simu hii mpya ya gharama ya...
6 Reactions
75 Replies
10K Views
𝗡𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗜𝗻𝗱𝗶𝗮 𝘆𝗮𝗳𝗶𝗸𝗮 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗮 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟰 [emoji189] Nchi ya India imefanikiwa kufika mwezini baada ya kujaribu na kushindwa miaka minne iliyopita, hatimaye India imefanikiwa kufikisha chombo...
2 Reactions
8 Replies
962 Views
Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu,nina Samsung s21 ultra 5g imekuwa na tatizo la kusoma mtandao kwa muda sasa,unaweza weka laini ikasoma vizuri tu baada ya muda haisomi ni mwendo wa Emergency tu na data...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde. Ndege hiyo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
I can't wait Tesla watoe simu zao so niseme kwaheri na iPhone coz nimewachoka na monopoly yao na ku complicate simple things kufanya ngumu eg ringtones kuweka simple tu, to download everything...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini...
2 Reactions
56 Replies
20K Views
Hello guys; Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu... Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama kuna mtu ambaye ni mtaalamu wa Websites na Blog nahitaji mtu ambaye anajua designing nzuri za website na blog na kuwezesha akaunti kukubaliwa na Adsence ili niweze kulipwa naombeni anicheki...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Habari za jioni wanajamvi, kutokana na shughuri zangu, nna matumizi makubwa kiasi ya smartphone, yaan nna magroup mengi ya Whatsapp, nna kazi kadhaa za online. Sasa hii simu nikiwasha tu data...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
printer inatoa alarm kuwa NO PAPER PICK UP tatizo ni nini? inashindwa ku print
1 Reactions
5 Replies
790 Views
Habari! Niemeamua kuandika thread hii kutokana na kuona vijana wengi sana wanaosomea mambo ya tehama na wengine watundu watundu waliosoma short course kuchukulia vitu rahisi na kutokuwa na usiri...
1 Reactions
10 Replies
960 Views
Habari ndugu wana jukwaa, Ninaomba kwa anayefahamu app yoyote (iwe ya kulipia au isiyo) inayoweza weza kunisaidia kutrack namba ya simu ili kufahamu iko mahali gani na pia kuniwezesha kuifikia...
4 Reactions
21 Replies
8K Views
Habarini waungwana, Nina shida VPN nimejaribu hatuner bado Iko slow mwenye kujua code za turbo VPN tafadhali
1 Reactions
0 Replies
640 Views
Habari, Naomba kama kuna mtu anajua kuondoa ile caption ya simu anayotumia mtu pindi anapo comment au kuandika chochote inayojitokeza pale chini.
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom