ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
Hellow wakuu za nyakati hizi
Naomba mwenye ujuzi wa jinsi ya kupata namba za nchi za nje kwa ajili ya kujiungia whatsapp
Niliwahi kutumia primo app kwaajili ya kupata namba ya marekan lakini sasa hv naona imenigomea
Naomba msaada hapo kwa mwenye kueza kunielewesha
Nawasilisha