Inawezekana..Tumia simu uliyokuwa unatumia mara Kwa mara...hiyo Facebook Yako...mara nyingi matatizo hayo hujutokeza endapo umebadili simu. Na kwenye simu ya mwanzo umesahau kulog_out
Bonyeza Get Started nenda mpaka mahali utaweka doti katika kati kisha utaendelea mbele next na utaweka namba yako ya simu kisha utabonyeza nevt uyangojea messege itakuja kwenye simu yako yaani ibox utaweka namba zako na kumaliza mwisho bonyeza use this number.
Mimi natumia na ndo mtandao unaotumiwa na watu wengi Duniani piaNani anatumia Facebook hapa?