Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Tafadhali kama kichwa kinavojieleza, nina shida ya kuwasiliana na mafundi wa fani hiyo walipo ndani ya mkoa wa kigoma.. Shida yangu kubwa ni kuwa kama watakuwa tayari basi niwe mwanafunzi tu...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Our records indicate that the following shipment has been delivered: Reference: 326-977-201312261019-1540540 Ship (P/U) date: Dec 26, 2013 Delivery date: Dec 31, 2013 2:21 PM Sign for by...
1 Reactions
275 Replies
34K Views
Habarini za jioni wanajukwaa Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho Nimejaribu kuichunguza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo interested na mambo haya ila nilipotaka kufatilia nilikuwa nazungushwa sana, nikaja kugundua kwamba hii kazi ya blogging wanaotusua ni wale wanaotumia njia nyeusi na ndio mana hawapo open...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina Sony home theatre, hivi karibu iligoma kuonesha any signals pale mbele kwenye kidude cha ku display. Nikaipeleka kwa fundi, katika uchunguzi alisema kifaa ambacho nimeweka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari naombeni msaada namna ya kufungua account ya Twitter.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa...
1 Reactions
5 Replies
625 Views
Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu). Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Sijaona robot ambaye yuko emotional kama yule wa Airtel. Nazani mama mpaka Leo anajua yule jamaa ni Robot. Kwa maana ile siku alimsifia kweli kweli , bila ya kujua ni mtu Na bado sijajua elimu ya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wana jukwaa, Kuna case kadhaa kwa watumiaji wa WhatsApp Gb namba zao kupigwa burn wasiweze kutumia tena whatsApp hata hizo za kawaida. Hii inaeelezwa namba hizo zinafungiwa miaka 5 up...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Hatimae transition holdings wamiliki wa tecno, infinix, oraimo na itel wameshika nafasi ya tano kidunia kwa uuzaji simu, pengine miaka mitao ijayo wakashika namba Moja. Soma hapa Canalys: Global...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakati Teknolojia inazidi kushika Kasi ulimwenguni Sasa kampuni ya Precision Air imeleta njia Rahisi ya kukata tiketi, Sasa utakua na uwezo wa kukata tiketi za safari ya ndege kupitia mtandao wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
WhatsApp waniban Namba yangu baada ya hapa nikawaomba kupitia email yao na wakanifungulia ila ajabu Kila nikitaka kulog in wananiambia kwamba situmii officially whatsApp na muda huo natumia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kule X ama Twitter Bwana mkubwa Tajiri namba moja Duniani, mmiliki wa makampuni ya Tesla, X, X.al, Boring Company, Space X na makampuni mengine mbali mbali alianzisha utaratibu wa kuwalipa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
2 Reactions
5 Replies
688 Views
Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa. Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na...
1 Reactions
6 Replies
853 Views
Nafikiri swali linajitosheleza.. Nitaweka na la nyongeza je naweza fanya online banking mfano najisajili online,natoa hela Skrill naweka bank then naihamishia kwenye simu is it possible...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna Gamer yoyote ambae ana collection ya PC games (2019 - 2020)? ninazo games kadhaa. kama tungeweza kubadilishana itakua poa. Don't tell me FIFA, GTA 5 and Call of Duty. XD
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom