The difference between Toyota VVTI and D4 Engines | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The difference between Toyota VVTI and D4 Engines

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by regam, Dec 22, 2011.

 1. regam

  regam JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Source: AA WEbsite
   
 2. k

  kabindi JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thanks for the good information! even if is copy and paste what matter is the provided informatation form any source!
   
 3. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  nimetaka kununua gari ambalo ni fuel efficient, high performance, and very comfortable, then I came accorss vehicles with D4 VVTI! Nilipoingia Jua kali huko Mtaa wa Lindi hapa DSM kwa mafundi nikifanya utafiti duh! Chaka! Mafundi wetu wote walilalamikia engene hii na kusema ina matatizo.

  Ila nilijifunza jambo moja, sidhani kama kuna fundi anayerudi shuleni inapotokea technologia mpya ya magari. kwakuwa kwenye sources nyingine wameisifia sana hii engene. Muhimu inataka nidhamu ambayo kwa kawaida ni muhimu kwa mtu yeyote. Mda si mrefu akina mafundi wa mtaa wa Lindi watakuwa wamejua nini cha kung'oa na nini cha kuacha au kumodify kama kawaida yao.

  I am just making an order next week for the vehicle with this particular engene. Na nimeshajua wapi wanafanya maintanance hizi, kwa wasomi. Ni gari zilizofungwa sensors ambazo hukujulisha hali ya vifaa vya gari kadri unavyotumia kukuhakikishia uslama, starehe na kudumu kwa gari lako.
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]VVT-i D4 = Variable Valve Timing with Intelligence D4
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: articlesubheading"] Toyota's new VVT-i D4 (D4 is short for "direct injection 4-stroke") engine has been improved by a small, but very effective new idea, that makes it 8% more efficient than the award-winning VVT-i engine. Petrol is now directly injected into each cylinder through a slit-like nozzle giving VVT-i D4 the following benefits:


  • Increased fuel atomisation for better combustion
  • Petrol no longer sticks to the injection port when starting cold
  VVT-i D4 engines deliver:
  • Fewer harmful emissions
  • Lower fuel consumption
  • Higher power output
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: right"]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Naomba kuuliza tofauti kati ya hii inaitwa 1G-FE Engine na Vvti,
   
 6. MWAMUNU

  MWAMUNU JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  I see na mimi nakazia hapo hapo kwenye swali lako mfano kuna hizi GX 100 mafundi wengi wanasema ukipata yenye injini ya 1G kavu ni bomba kuliko VVT-I huwa wananichanganya sana !!!
   
 7. B

  Biro JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  haya sasa mi nauza gari yangu RAV 4 mafundi wa ilala wanaita kilitime engine yake D4. KAMA VIPI ni PM. tutaelewana.
   
 8. tonge nyama

  tonge nyama JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2013
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 372
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 80
  Ni kweli kabisa unayosema mkuu, mafundi wengi wa kibongo hawapo updated na teknolojia mpya. Mimi natumia Toyota Opa yenye engine ya D4 mwaka wa tatu sasa haijaniletea matatizo yeyote. Tatizo kubwa tu nililowahi kulipata ni kuwa gari ilikuwa inakataa kukaa sailensi kama kwenye foleni hivi ilikuwa ikizima, muda wote ilikuwa inataka lazima niwe ninakanyaga accelerator hivyo nikiwa kwenye foleni ilikuwa ikinilazimu niweke neutral ili niwe ninakanyaga accelerator.

  Nikahangaika sana kwa mafundi wa mtaa wa lindi, mikocheni, maomeni na kwingineko, walikuwa wakibahatisha mara waninunulishe plug, nosel, fuel pump na vitu vingine bila mafanikio. Lakini baada ya kusearch kwenye mitandao yenye forums mbalimbali za magari nikaja kukuta kumbe watu wengi walipata tatizo kama hilo kwa engine ya aina hiyo na solution kumbe ni kubadilisha air cleaner. Fasta nikaenda pale msimbazi kituo cha bahresa nikanunua air cleaner... baada ya kuifunga mpaka leo tatizo lile likawa limetokomea.

  Sasahivi gari yangu inakaribia km 100,000 za milage, nilishakuwa na corolla yenye engine ya 5A ambayo imeandikwa wazi kabisa kuwa ibadilishwe timing belt kila baada ya km 100,000. Sasa kwenye Opa yangu yenye D4 sijaona hayo maandishi wala sehemu yenye hiyo timing belt, sasa nauliza je hilo ya kubadilisha timing belt pia linaaply kwenye engine ya D4? pia naomba hapo kwa mafundi wako wanaofanya mainternance hizi kisomi hasa isiwe wale wa DT DOBIE na Toyota Tanzania ambao bei zao wanaoweza kuzimudu ni ma STK, SU na DFP
   
 9. Dengue

  Dengue JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 1,776
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Kiongozi kila aina ya engine ina code yake.

  Mfano,
  Engine za vvti ndio zinakuwa na code ya 1G na cc zake zinakuwa mara nyingi hazizidi 2000
  Angalia verrosa.

  Engine za d4 zinakuwa na code ya JZ1 au 2,
  Zenye 1Jz huwa na cc 2400
  Zenye 2jz huwa na cc 2900
  Angalia brevis na verrosa.

  Engine nyengine zina code ya ya 3s,1az.

  Ishu inakuja kwa mafundi wetu wa Kibongo ukimwambia akupe hizo tofauti inakuwa shida na ukitaka ushauri kutoka kwake atakwambia nunua 1G iwe kavu. Utaijuaje kavu, angalia bamba la nyuma utaona taa zake hazijaungana na buti. Basi inakuwa tafrani tu.
   
 10. Dengue

  Dengue JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 1,776
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280

  Kiongozi hata mimi nimekuwa muoga na hizi engine za D4,binafsi kinachoniogopesha ni ukubwa wa cc ukilinganisha na zile za vvti. Watu wanasema usiogope ukubwa wa samaki, muhimu uliza bei,sasa kwa matumizi ya mafuta ikoje sio maumivu?
   
 11. Dengue

  Dengue JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 1,776
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Kuna fundi alishawahi nambia kama unataKuimantain engine ya D4 inatakiwa uwe na nidhamu ya haliya juu na gari yako haswa kwenye kuweka mafuta na kufanya services. Hakikisha unaweka mafuta kwenye vituo vizuri usiwe unachanganya mara super,petrol mara unleaded.
   
 12. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2013
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mimi ninaedesha Toyota Hilux double cabin mwaka wa tano sasa sijui haya wanayoyasema, ila naamini D4 inatakauwe na discipline ya kuweka fuel kwenye pump zinazoeleweka. Hata hivyo bado ni engine nzuri tu, na tunakoelekea mafundilazima wajue gari ndio zitakuwa na hii mifumo.
   
 13. maph

  maph Senior Member

  #13
  Oct 2, 2013
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ndugu hata na mimi nina hiyo OPA ilinisumbua sana ikawa inazima kwenye foleni , da niliahagaika sana mpaka nilibadilisha Nozeli ndo mambo yako safi mpaka leo . shida kubwa hatuna mafundi hizi gari.
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2013
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,904
  Likes Received: 2,322
  Trophy Points: 280
  True!!
   
 15. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2013
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Hao mafundi wa D4 VVTi engines wanapatikana wapi kaka?
   
 16. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Mkuu hao mafundi uliowasema hapo juu bei zao ziko poa kinoma. Watafute jumamosi na jumapili kwenye gereji zao kitaa ndo utajua nnalolisema. Mjini akili. Kijijini nguvu
   
 17. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2013
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  hili ni kweli kabisa. Nakubaliana na wewe 100 mia
   
 18. samaki2011

  samaki2011 JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2013
  Joined: Dec 17, 2013
  Messages: 1,777
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi nimezipitia comment zenu zote na ukweli ni kwamba mmenifungua sana macho. Ninataka kununua "Toyota Premio, 1500cc" ila sina taarifa za kutosha na hii gari. Naomba anayejua matatizo ya hii gari anisaidie.


  [​IMG]
   
 19. MANI

  MANI Platinum Member

  #19
  Dec 29, 2013
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Haina tatizo engine yake ni 5a ulaji wa mafuta ni mzuri na spea zake ni nyingi.
   
 20. G

  Godlove Mashayo New Member

  #20
  Dec 29, 2013
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kwanza nimefurahi kukutana na hii topic..mimi nina VISTA Aldeo engen D4 lakini kiukweli inanitesa sana maana inakula mafuta sanaa..yaani inanipa shida..nifanyaje jamani??
   
Loading...