BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,623
- 3,011
Wataalam simu yangu imekataa kuondaa alama ya earphone. Hata nikichomeka earphone na kutoa bado alama hiyo haitoki. Hali hii imesababisha hata kukata sauti kwenye spika ya simu Ninaomba msaada jinsi ya kuondoa hii sensa ya earphone