Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara ============...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Link hii hapa (FIFA 17-STEAMPUNKS » SKIDROW-GAMES) Viwango vya pc vinavyotakiwa ni hivi hapa FIFA 17 system requirements Minimum OS: Windows 7/8.1/10 - 64-Bit CPU: Intel Core i3-2100 @ 3.1GHz or...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Nimepata mtihani wa kufiwa na Solid State Drive (SSD) ya laptop yangu yenye 256GB storage capacity. Naomba msaada kwa mtu mwenye utaalamu wa kurecover files kwa namna yoyote ile an isaidie...
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Nani aweza nisaidia Adobe Photoshop (Macos) with cracks au link naona za torrent zinanigomea wadau
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Wakuu naomba msaada wa kimawazo kwa wataalum wa sola na Bio gas. Nahitaji ku pump maji ya kisima kwa kutumia moja ya power source mojawapo kati ya sola au bio gas ila hizi source ni DC ila Mimi...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Naomba kujua kama inawezekana kujitoa WhatsApp group bila members kujua.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau wa mobile development (Android & iOS) kuna anaye tumia Flutter humu kutengeneza app zake? Flutter inaonekana kama strong competitor to React Native na Xamarin kwa sasa
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Simu yako imeingia maji?, spika yako inatoa sauti ambayo huipendi? sawa pole kwa changamoto hiyo karibu hapa kwa suluhisho. Usipeleke simu kwa fundi kwanza, wala usiweke kwenye mchele. Kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu habarini za majukumu. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na...
0 Reactions
6 Replies
657 Views
Akili ya bandia (AI) ni mwelekeo wa teknolojia ambao unalenga kuunda kompyuta na programu zinazoweza kufanya kazi ambazo kwa kawaida zinahitaji uwezo wa akili ya binadamu. Lengo kuu la AI ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za Muda huu wa ungwana... Naomba ushauri juu ya VPN ya kulipia kati ya Your freedom na Droid VPN ipi ni nzuri zaid kulipia? Pia kama unafahamu VPN nyingine nayoweza kutumia tofauti na hizi...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Specifications za laptop ni kama zifuatazo Model: HP ELITEBOOK 830 G5 PROCESSOR TYPE: INTEL CORE i5 8350U 1.9 ghz up to 3.6ghz RAM: 8GB DDR4...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Microsoft 365 Copilot inachanganya nguvu ya mifumo mikubwa ya lugha (LLM), yaani large language models na data zako kwenye Microsoft Graph na programu za Microsoft 365 ili kugeuza maneno yako kuwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Tumeama toka Zuku, tukaingia Azam Tv jana, sasa tumekutana na Hii message kwenye screen. Inaonesha channel moja tu ile ya matangazo ya tv yao ambayo ata ukitoa card yenyewe inaendelea. Tatizo...
0 Reactions
8 Replies
28K Views
Kwanza niipongeze serikali kwa kutoa vishikwambi kwa walimu, Kuna ufanisi na urahisi Fulani wa kazi umeongezeka katika shughuli za kujifunza na ufundishaji.. mpaka Sasa nimekutana na zaidi ya...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nilikuwa natumia WhatApp GB ghafla ikaexpire nikadownload upya nikiunga inaniandikia account not verified nimetuma na picha hapo chini jinsi inavyokuwa.
1 Reactions
5 Replies
856 Views
Naomba kujua wanna tech na wachumi, hivi Kuna masilahi gani Serikali inapata raia wake tunapotumia vpn au tunaiga tu. Mna all adult sites blocked afu imekua kero kuwasha vpn, kuna muda ina...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello I.T fans.. naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula) hivi sababu ni zipi hasa? Halafu bado wengine...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habarini za sahizi? Naomba kwa anaefahamu anielekeze juu ya ubora wa HP ELITEBOOK 840 G3 na HP PROBOOK 450 G4 Ni kwa ajili ya Mwanafunzi wa ICT Msaada tafadhali.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom