Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine?

RAJ SIMBA

Member
Apr 26, 2020
15
9
Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine ,mana mm natumia whatsApp officiall ambayo ni whatsApp messager, juz waliniban nikawaomba walinifungilia nikazisoma sheria zote sijui kutamia whatsApp official, kuapdate whatsApp, na mengineyo. Me nikaona isiwe tabu nikaifuta Namba yangu ya whatsApp kabisa lengo ni kuanza mwanzo, kweli Kila kitu kikafutika, nikaanza upya lkn ajabu leo tena umepigwa ban, yan nashangaa tatizo nini Au simu ndo tatizo Au kitu gani, kama simu natumia Oppo sa sijui na wenyewe inavunja sheria zao. Naombeni jamani tusaidiane kwa anayejua kwa kina masuala haya yan mpk nachoka.
Screenshot_2023-08-13-18-30-50-41.jpg
 
Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine ,mana mm natumia whatsApp officiall ambayo ni whatsApp messager, juz waliniban nikawaomba walinifungilia nikazisoma sheria zote sijui kutamia whatsApp official, kuapdate whatsApp, na mengineyo. Me nikaona isiwe tabu nikaifuta Namba yangu ya whatsApp kabisa lengo ni kuanza mwanzo, kweli Kila kitu kikafutika, nikaanza upya lkn ajabu leo tena umepigwa ban, yan nashangaa tatizo nini Au simu ndo tatizo Au kitu gani, kama simu natumia Oppo sa sijui na wenyewe inavunja sheria zao. Naombeni jamani tusaidiane kwa anayejua kwa kina masuala haya yan mpk nachoka. View attachment 2716468
Shida mnapenda sana mbwembwe, WhatsApp GB ni fake.

Download WhatsApp ya kawaida ya mwanzo ulivyoanza kutumia WhatsApp.
 
Kaka Nina tumia whatsApp official kabisa, whatsApp messager sa sijui tatizo nn
 
Watakuwa wanaugonvi Na Oppo, mi mwenyewe miez mitatu iliyopita walinipiga ban nikafuata process zote za kufunguliwa wakani inbox Gmail after 24hrs wataifungua ACC yangu ikawa ndio kimoja Mpaka nikaamua tu Ni change no.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom