-na assume ni asus c300 sababu hakuna chromebook ambayo ni notebook halafu ni pc. ukishasema notebook au pc ni kifaa cha windows.Ni ASUS C300 NOTEBOOK PC 64(sol-9)
Asante Chief ngoja ni jaribu na njia ya pili nitaleta mrejesho. Shukrani-na assume ni asus c300 sababu hakuna chromebook ambayo ni notebook halafu ni pc. ukishasema notebook au pc ni kifaa cha windows.
-hii chromebook inakubali android apps, hivyo ni vyema utumie hizo apps za android.
kutoa hio error fuata tutorial hii
Wipe device data - Chrome for business and education Help
kama ameblock developer mode kuna njia ila ngumu zaidi, hii hapa
SOLVED: How can I reset a managed chrome book back to factory - Samsung Chromebook Series 3
anza na ya kwanza rahisi, ikishindikana nenda ya piliAsante Chief ngoja ni jaribu na njia ya pili nitaleta mrejesho. Shukrani
kwa asus c300 ipo hapaChief hapa nime kwema, kulingana na maelezo na picha naona kama hazifanani![]()
Unataka kuweka Chrome kwenye windows device?Chief-Mkwawa
Mkuu , tafadhaliunaweza kujua wapi nitapata link ya kutengeneza chromeOS USB installer?
Sababu naona google wame disable kupata kwenye windows devices
Alternative tumia Fork zipo kibao ipo fydeos fork ya Chromeos inayokubali apps za Android.Chief-Mkwawa
Mkuu , tafadhaliunaweza kujua wapi nitapata link ya kutengeneza chromeOS USB installer?
Sababu naona google wame disable kupata kwenye windows devices