Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini waungwana, Nina shida VPN nimejaribu hatuner bado Iko slow mwenye kujua code za turbo VPN tafadhali
1 Reactions
0 Replies
640 Views
Habari, Naomba kama kuna mtu anajua kuondoa ile caption ya simu anayotumia mtu pindi anapo comment au kuandika chochote inayojitokeza pale chini.
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Kioo cha Smart google TV, TCL brand 32inch.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
4 Reactions
32 Replies
13K Views
Msaada ya site ya ya kudownload hd movies bila kutumia torrent
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa nini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?, Windows 11 haijawa successfully kama tulivyotegemea mbali ya kuwa na features na Promo kubwa?
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Daaaah ufund unameng lakn swala la maden limekua donda sugu mtu anakuletea mashne bahat mbaya inazma mikonon mwako afu ukute shida ilikua processor ukute processor yenyew built-in apo inabdi...
5 Reactions
14 Replies
995 Views
Habari wadau, Nina simu ni almost mpya lakini ina tatizo haikamati network laini yoyote ya Halotel msaada tafadhali. Aina ya simu ni Infinix Smart 6.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari msaada hizi addons kama unafahamu.
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Habar wataalam Modem ukiichomeka inaconnect then baada ya muda inadisconnect yenyewe na unakuwa inafanya hivyo muda wote. Nini litakuwa tatizo?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wakuu simu yangu ya Xiaomi Redmi 11 pro haifungui picha nkiwa jiiforum naperuzi nyuzi sehemu ya nyuzi yenye picha haifunguku hasa kama nyuzi ya tupia picha ya warembo wakali
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari ya nyie, kuna hiki ki redio nimeombwa msaada hapa kukirekebisha, kina shida moja. Waya ule wa speaker vile vidogo (Sijui ndo wanaviita twitter), pale kwenye ki tobo unapoingia...
0 Reactions
13 Replies
677 Views
HABARI ZA MDA HUU NATUMAI UZIMA UPO Napenda nikuekeze kuhusu hii proJect ya MTFE ambayo imekua maarufu sana na watu wengi hawaiJui pia pamoJa na umarufu wake. Kwanza kabisa kirefu cha MTFE...
4 Reactions
20 Replies
11K Views
Habari wanajf.. Poleni na majukum. Naombeni kusaidiwa.. Friji langu halipozi tena zaidi tu linakula umeme kuliko kawaida. Naombani msaada wenu.. Nini tatizo hasa?
1 Reactions
51 Replies
36K Views
Habari wakuu, Msaada jinsi gani naweza kukoleza maneno yawe ya rangi tofauti na nyeusi ndani ya JF Mfano: JamiiForums liwe na rangi nyingine kama nyekundu au bluu Nawasilisha:
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Wadau najiuliza kwann siku izi computer nyingi unakuta storage yake ni 256 yaan imekuwa common Unakuta mashine ina processor kubwa ila storage ndogo. Watalaam naomba mnijuze
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Jinsi ya kudownload na kuinstall aina yoyote ya whatsapp kwa android version 4.4.4. Shukran
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wenye Yahoo Mail mnapata tatizo kama langu la kuto login?
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake. Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest...
18 Reactions
75 Replies
7K Views
Wakuu tukutane hapa kujuzana mambo matamu ya Samsung Galaxy S9.... Leo tarehe 25 itazinduliwa rasmi huko Barcelona!! Inasemekana hii simu itakuwa ni balaa na itaendelea kukimbiza kama ilivyofanya...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Back
Top Bottom