mzee msoko
Senior Member
- Jan 30, 2020
- 112
- 204
Habari za leo wakuu,nina Samsung s21 ultra 5g imekuwa na tatizo la kusoma mtandao kwa muda sasa,unaweza weka laini ikasoma vizuri tu baada ya muda haisomi ni mwendo wa Emergency tu na data haifunguki hata kidogo nishajaribu kuseti APNs mpya lakini hakuna msaada wowote