Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,284
- 2,593
๐ก๐ฐ๐ต๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ป๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ๐ป๐ถ ๐ฏ๐ฎ๐ฎ๐ฑ๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฐ
View attachment 2727326
[emoji189] Nchi ya India imefanikiwa kufika mwezini baada ya kujaribu na kushindwa miaka minne iliyopita, hatimaye India imefanikiwa kufikisha chombo chake mwezini.
Ikiwa ndo nchi ya kwanza kufikisha chombo chake kwenye eneo la upande wa ncha ya kusini mwa mwezi hakuna chombo Chochote kilichowahi kukanyaga upande huo.
[emoji189] India inakua nchi ya Nne kufika mwezini baada ya Marekani, china na urusi kupitia (Ussr) lakini India ndo inakua nchi ya kwanza kufika kusini mwa mwezi.
[emoji189] Ambapo Wana sayansi wanaamini ni eneo ambalo linaweza kutunza akiba ya maji yaliyogandishwa na vitu vya thamani.
Chombo hicho kimepewa jina la chandrayaan 3 ambapo #chandra maana yake ni "mwezi" wakati #Yaan ikiwa na maana ya "ufundi" au "gari" kwa lugha ya Sanskrit.
[emoji189] Kilianza safari mwezi July 14 kusini mwa India kimefanikiwa kufika mwezini kumi na mbili jioni kwa saa za India wakati Tanzania ni saa Tisa na nusu usiku.
Wanasema kila jambo na wakati wake tusikate tamaa na hakika Tanzania tutafanikiwa na sisi kupeleka chombo Mwezini [emoji56] siku zijazo.
#tanzania #bongotech255 #fahamuzaidi
View attachment 2727322View attachment 2727325View attachment 2727323View attachment 2727324