hero7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 216
- 69
Habari! Niemeamua kuandika thread hii kutokana na kuona vijana wengi sana wanaosomea mambo ya tehama na wengine watundu watundu waliosoma short course kuchukulia vitu rahisi na kutokuwa na usiri na wengi kutokujua vitu deep..
Nitaanza na mifano michache, kuanzia kuanza kwa Jamiiforums kuna watu kama Njunwa Wamavoko Mwl.RCT Chief-Mkwawa ni watu ambao wanajua vitu vingi sana ila wanalimit ya kuongea..
Mfano hizi trick za unlimited internet naamini ni wengi wanajua ila vijana wa sasa wamekuwa ovyo wanaropoka kila sehemu na ukifutilia kichwani empty unakuta host hata kutafuta hajui ila kapata kiujanja ujanja na wanajiita maIT ila hizi trick sio vitu vigeni vipo miaka na miaka.
Ila miaka ya nyuma sijawahi ona vitu hivi vikitangazwa tangazwa mpaka upate mtu alie nayo ni connection ya kutosha, bado pia kuna case za wizi wa mtandao ila ukifuatilia unakuta vijana wanajiita M-IT ndontatizo inshort hawavijana wasasa wanavhafua fani ya tehama na kuonekana wezi na wajanja wa mjini na ukingalia wamekuja poteza hata mvuto wa thread nyingi huku Jamiiforums.