Masada, nafungiwa watsapp kila baada ya 48 hours

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Wakuu Msaada,

Kwa aliyewahi kupitia kadhia hii, alipataje ufumbuzi.

Nimekuwa nikiwatumia e-mails, na ujumbe kuwaomba wafungue account yangu, ikifunguliwa haizidi 48 hours inafungwa tena.

Natanguliza shukrani kwenu.
Screenshot_2023-08-28-16-13-00-98.jpg
 
Hapana, labda status za kujenga imani, kuwasihi waja wajikurubishe kwa Allah
 
Maybe Kuna watu unawaunga kwenye group lako, la WhatsApp, wakiwa wanaleft wanakureport Kama spam.

Kwa sababu WhatsApp hulazimisha watoe comment kwa Nini wanaleft group.
 
Eti, though Nmekua nikipakua google play store,msaada Jinsi ya kuitambua hiyo Official Watsapp pls
Unayoikuta play store ndio official , kama sio official haiwezi kupatikana play store hapo inawezekana kuna shida mahali
 
Whatsapp inakua banned ikiwa reported au kama una tabia ya kutuma sms nyingi kwa mara moja au interval ndogo kwa watu wengi. So unaonekana kama vile akaunt yako ni spam.

Ikitokea pia unatumia whatsapp isiyo rasmi hii inaweza kukukuta.

Isipokua hua najua mtu anagewa muda mfano ataambiwa asubiri saa 24 ila wewe naona unaambiwa kua akaunti yako haitakiwi kutumia whatsapp.

Hebu angalia maudhui uliyokua unadeal nayo huko whatsapp
 
Huyo atakua anaeneza jihad na jumbe za chuki sana (extremist) juu wa wakristo hasa tunaoipinga DP World!
 
Back
Top Bottom