Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza.
kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo...
Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta.
Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa.
Nikitaka...
Natumai sote ni wazima,na ambao afya imeteteleka Mungu awape wepesi mpone.
Kwa wataalamu na wenye uzoefu ,naombeni msaada wa kubadiri lugha kwenye laptop.
Nina laptop ambayo ilikua inatumika...
Hello guys,
Kama heading ilivyo. Naomba kufahamishwa similarities and differences za hizo machine mbili in case of performance, battery life and other factors.
Thanks in advance
Kindly regards
Habarini za asubuhi wataalamu.
Kuna simu ndogo nimeipenda (angalia picha chini) ipo AliExpress nataka kuagiza.
Naomba kujua ikishafika Tanzania naenda kuipokelea wapi. Kwa wale waliowahi kununua...
Natafuta magemu ya kivita ya kuokoa watu au kwenda sehemu fulani kwenda kupigana kumuokoa mtu fulani Yan game liwe Kama movie za kivita zinavyokua story yake kwa mnaoyafaham magemu ya namna iyo...
Hivi mmegundua smartphone nyingi sikuhizi hazina technology ya hspda au H+?
Ukweli ni kuwa wakati mwingine H+ ina kasi kuliko hata hizo 4G za michongo za mitandao kama halotel, na TTCL
H+...
Hello,
Nina kazi zangu za kisanaa, ziko uploaded on YouTube lakini hazikuwafikia watu wengi. Nahitaji ziwe recommended kwa Mtanzania yeyote anayeingia kwenye App. Nifanye nini ili hizi videos...
Wakuu kwema?? Tumeshuhudia 13 october apple wamereveal iphone12 ambapo kwa taarifa mpaka sasa itavunja record ya iphone11 kwa mauzo na pre orders. Sasa turud kwa topic.
Samsung wali lunch s20...
YouTuber Tukutane Hapa
Je, unamiliki YouTube channel au unataka kutengeneza na kupata Ujanja Zaidi mfano kuongea Views na subscribers? Basi pitia hapa.
Wadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji...
Salamu wakuu,
Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited).
Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza...
𝗧𝗲𝘀𝗹𝗮 𝗦𝗮𝘀𝗮 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗽𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂 𝗰𝗼𝗻𝘁𝗿𝗼𝗹 𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗮𝗸𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂
Kampuni ya Tesla imeleta mfumo rahisi wa kuingiliana Kati ya gari pamoja na simu kwa watumiaji wa simu za iphone pekee.
[emoji189]...
Kampuni ya apple inayofanya vizuri kwenye uuzaji wa simu zao. kuanzia mwaka 2008 ilikua na app 500 kwenye soko la app store mpaka kufikia app zaidi ya milioni mbili sasa.
Ukingia kwenye soko la...
Habarini za asubuhi
Nilikuwa natumia program ya download master ku-download video kwenye YouTube , Ila naona wamefanya maboresho na imekuja program ambayo siyo rafiki
Naomba msaada Kwa ambaye...
Za jioni wakuu,
Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti. Yaan bedroom TV pia niweze kupata huduma ya azam TV kwa king'amuzi chake separate ila nitumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.