Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

City Rider

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
402
Reaction score
1,218
Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee

images%20(19).jpg
Screenshot_20221008-201431.jpg
 
Hizi simu nishakuwa addicted nazo nazipenda japo nipo 3a ila nafanya mpango ya kuchukua 6 pro mwaka ukigeuka itakuwa ishapungua makali kweny bei.... Kuanzia display yaani kioo kipo poa nimetumia hii mwaka sasa ukinipa simu nyingine hata iphone kweny kioo naona nyeupe sana kama inaumiza macho yaani nishazoea afadhali samsung hizi simu ni balaa mno
 
Izi simu nishakuwa addicted nazo nazipenda japo nipo 3a ila nafanya mpango ya kuchukua 6 pro mwaka ukigeuka itakuwa ishapungua makali kweny bei....kuanzia display yaani kioo kipo poa nimetumia hii mwaka sasa ukinipa simu nyingine hta iphone kweny kioo naona nyeupe sana kama inaumiza macho yaani nishazoea afadhali samsungu izi simu ni balaa mno
Sasa unaambiwa imetoka pixel 7 na 7 pro hiyo iphone 14 irudi shule
 
Sasa ndugu hutumii iphone lakini unaielezea kuwa bora how do you know that my friend?
Hizo simu naziuza boss, primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei, brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi, Ila efficiency still ni changamoto, iPhone simu zao ni quality Sana, mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni.
 
Bado hakuna simu ya kuilaza brand ya iPhone , mi mwenyewe sio mtumiaji wa iPhone , Ila mpak sasa iPhone ndo simu , labda mwaka kesho ndo itaanguka
Mimi nimetumia iphone 6 plus, 7 plus na X kitu nimeiona ni bora over pixels labda ni securiy the rest watumiaji wa iphone wapo ndani ya cage, hawapo free.

One thing good about android phones kama pixel unaweza kuifanya vile unataka you can do alot of suff with minimum or no restrictions kitu ambacho iphone wamekosa.

Blackberry waliwahi kuwa na masharti kama ya iphone lakini walishindwa sababu Android took over everything

Sisemi iphone ni mbaya ila Android hasa pixel ni user friendly na on top of that camera camera ni so
 
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
Nimekuelewa sana simu nyingi wanajaza ma RAM na Camera nzuri ila zina efficiency ndogo lakini si kwa google pixel, vitu vikubwa nimependa kwenye pixel over iphone

1. Camera quality (sio night sio day)
2. Battery performance
3. Fast Processing
4. Rangi ya display (friendly kwa macho)
5. Flexibility
 
Back
Top Bottom