nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,114
- 1,879
Habari za jioni wanajamvi, kutokana na shughuri zangu, nna matumizi makubwa kiasi ya smartphone, yaan nna magroup mengi ya Whatsapp, nna kazi kadhaa za online. Sasa hii simu nikiwasha tu data lazima ijizime, then baada ya hapo inaganda mara ijizime.
Je, kuna namna naweza ifanya hii simu ikawa fasta na isizime zime ovyo nikiwasha data?
Je, kuna namna naweza ifanya hii simu ikawa fasta na isizime zime ovyo nikiwasha data?