Jinsi ya kuseti Dream league soccer 23 Simba SC mod.

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,457
2,435
Salaam wakuu.

Screenshot_20230827-230313_1.jpg
Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha inavyoonekana hapa chini.
Screenshot_20230827-221318.jpg

Je, tatizo Nini wakuu?
Mwenye uzoefu anipe msaada🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom