Jinsi ya kuondoa ujumbe unaoonesha aina ya simu

Jinsi ya kuondoa ujumbe unaoonesha aina ya simu

karonga

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2017
Posts
774
Reaction score
1,272
Habari,

Naomba kama kuna mtu anajua kuondoa ile caption ya simu anayotumia mtu pindi anapo comment au kuandika chochote inayojitokeza pale chini.
 
Habari,

Naomba kama kuna mtu anajua kuondoa ile caption ya simu anayotumia mtu pindi anapo comment au kuandika chochote inayojitokeza pale chini.
kwenye wesite gani mkuu au jamiiforums ?
 
Naomba msaada jinsi ya kutoa mlio wa simu inavo kuwa inawaka, yaani iwe silent upande wa Power ringtones, natumia Spark 8C , nimeshinda wakuu msaada 🙏
 
Hahaa dawa gani mpya hiyo maana nimekunywa nyingi zilizokua huko jikoni pia[emoji3][emoji3] mbona fresh tu kutumia Tecno usijiskie vibaya bana, wote tunatumia na tuko so proud
Mi situmii techno kwa sasa lakini nikiwa nayo natumia ila tu sipendi kututolea privacy zetu hawatutendei haki kwa sababu mimi sijaona umuhimu wa kuonesha mtu anatumia simu gani?
By the way kwa sasa natumia sony experia xz3.
 
Hahaa dawa gani mpya hiyo maana nimekunywa nyingi zilizokua huko jikoni pia[emoji3][emoji3] mbona fresh tu kutumia Tecno usijiskie vibaya bana, wote tunatumia na tuko so proud
Hii dawa ndio kiboko yako utakaa kwa kutulia subiria ichemke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom