Anayefahamu ubora wa vifaa vya Sundar

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,314
760
Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini ambako umeme wa tanesco haujafika,kwani naona vifaa vya Sundar vimesambaa kila mahali .
 
Can I interest you na bidhaa kutoka dlight?

Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.

Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.

Taa hazivunjiki.

Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.

Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.

Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.

Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.

Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.

Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
 
Naattach huu mkataba wa mauziano ili upate picha ya jinsi malipo yanavyokua.

Nimecrop chini kabisa ambako hua kunajazwa majina, sahihi na namba za simu kwa ajili ya privacy.

IMG_20210924_081300.jpg
 
Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini ambako umeme wa tanesco haujafika,kwani naona vifaa vya Sundar vimesambaa kila mahali .

Mkuu Sundar ni hovyo kabisa watu wanaipendelea sababu ya bei kuwa chini kama ubora wake ulivyo chini

Solar nzuri ni za makampuni kama Zola, Mobisol, Mpowa nk
Tatizo lao ni MAJAMBAZI....... yaani wanabei kubwa ya wizi wizi mtupu

Naona watu siku hizi wanaagiza hizi solar nzuri tu online
 
Can I interest you na bidhaa kutoka Zola kwa kushirikiana na Solar sister?

Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.

Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.

Taa hazivunjiki.

Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.

Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.

Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.

Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.

Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.

Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
Hao Zola na mobisol wanabidhaa ghali lakini sijui kama wanauza rejareja nadhani wanakufungia mfumo wao na unalipa kwa mwezi,mimi ningependelea kampuni zinazouza bidhaa iliyo bora na nafuu.
 
Ni zipi bora zinazopatikana online
 
Hao Zola na mobisol wanabidhaa ghali lakini sijui kama wanauza rejareja nadhani wanakufungia mfumo wao na unalipa kwa mwezi,mimi ningependelea kampuni zinazouza bidhaa iliyo bora na nafuu.
Thamani ya pesa yako unaiona.

Nimeattach mkataba wa mauziano, ukiusoma utapata picha nzima.

Kuna taa ndogo pia and as usual kila bidhaa ina warranty ya mwaka.
 
Can I interest you na bidhaa kutoka Zola kwa kushirikiana na Solar sister?

Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.

Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.

Taa hazivunjiki.

Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.

Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.

Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.

Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.

Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.

Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
Tsh ngapi huu mtambo mzima ama kama unalipia kidogo kidogo ni bei gani kwa siku/mwezi
 
Kuna mkataba nimeutuma unaonyesha malipo yanavyokua.

Unaweza kununua mtambo wa taa pekee au mtambo wa taa na TV.

Ukinunua mtambo wa taa pekee utaanzia malipo ya awali ya 50,000 na utalipia 1800 kwa siku na itaamount kwenye 54,000 kwa mwezi. Hii 1800 inalipwa kwa siku 500. Jumla ya pesa yote inakua 950,000.

Ukinunua mtambo wa taa na TV unaanza malipo ya awali ya 110,000 na utakua unalipia 4000 kwa siku, kwa jumla ya siku 500. Jumla ya pesa itakayolipwa ni 2,110,000.

Kwa wateja ambao wapo karibu huduma ya kufungiwa inakua rahisi zaidi.
 
Mkuu Sundar ni hovyo kabisa watu wanaipendelea sababu ya bei kuwa chini kama ubora wake ulivyo chini

Solar nzuri ni za makampuni kama Zola, Mobisol, Mpowa nk
Tatizo lao ni MAJAMBAZI....... yaani wanabei kubwa ya wizi wizi mtupu

Naona watu siku hizi wanaagiza hizi solar nzuri tu online
Mkuu unalipa 1800 kwa siku ambayo utailipa kwa siku 500 ulitamani iamount kwenye sh ngapi?
 
Tafuta pro solar atleast wako vizuri hasa kwenye bettery.

Ila ushauri wangu ni huu:-

Panel nunua sundar
Bettery nunua pro solar
Bettery charge controll nunua sundar

Hapo utatumia vizuri tu

Sundar shida yao ni bettery ni mbovu sana.

Kama hutojari nenda mobisol ambao sasa wanaitwa mysol kanunue mtambo wa kuanzia watt 80 kwenda juu (tsh 2000000+), usichukue mitambo ya chini ya watt 80, haipo vizuri.
 
Can I interest you na bidhaa kutoka dlight?

Kwa ulivyotaja kuhusu TV nafikiri itakufaa package ya dlight X2000.

Katika package hii utapata TV, redio ndogo, tochi ndogo yenye uwezo wa kumulika umbali wa viwanja vitano vya mpira, utapata taa za muundo wa bulb nne, utapata na taa moja ya muundo wa tube light.

Taa hazivunjiki.

Unaweza kukadiria mwanga unaoutaka.

Unapata na warranty kwa hii bidhaa utakayonunua.

Unapata panel na contorl box ya kuwasha na kuzima mtambo mzima.

Taa zake zina waya ambao una sehemu za kuweza kuunga taa zingine. Namaanisha kwamba, taa itatakiwa kuchomekwa kwenye control box, lakini ikatokea unataka kuongeza taa badala ya kuchomeka kwenye control box unaweza kuchomeka katika sehemu maalumu ya taa nyingine.

Isipokua hii taa uliyochomeka katika taa nyingine itakua controlled na hii taa kuu ambayo imechomekwa kwenye control box.

Sijajua eneo ulilopo ila kama utakua eneo zuri unaweza kulipia kidogo kidogo.
Maelezo mengi lakini umeshindwa kutaja bei.
Wewe ni dalali?
 
Back
Top Bottom