Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Moja Kati ya simu Bora ya kutumia kwa mwaka 2023 Toka kampuni ya Infinix ni hii Infinix Note 30 Vip, ambayo imeachiwa June 30 mwaka huu ikiwa na feature kedekede ndani yake Leo nakuambia kadhaa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya CEO wa open AI Sam Altman kufukuzwa kazi katika Kampuni ya Open AI Microsoft imempa ajira mpya bosi huyo wa zaman wa Kampuni ya Open AI ili Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia Chanzo CNN
3 Reactions
6 Replies
709 Views
Hii Leo ni Siku ya pili bar za network zimepotea ghafla , nashindwa kuelewa tatizo ni nini kila laini ninayo weka bar za network zinatokea kuashiria kuwa lain ipo kwenye simu ghafla zinatoweka ndo...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu naombeni msaada Kwa mwenye uelewa jinsi ya kufuta status na isionekane Kwa Yule aliyeiona na ambaye hajaiona. Jana by mistake nikapost picha ya mtoto mkali, nikaifuta immediately Ila cha...
8 Reactions
41 Replies
10K Views
Labda kuna limitation ya kwamba mwisho kutuma sms kadhaa au labda kutuma sms nyingi sana kwa mda mfupi unaweza onekana suspicious ukablokiwa, nauliza hili swali labda kama unatak kufanya matangazo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nimeona baadhi ya simu zinakuwa na sehemu ya SIM na eSIM. ni sawa na hizi zenye dual SIM? Line za eSIM ni kitu gani. Tofauti yake na line za kawaida nini? Unaweza kuzitumia Bongo...
7 Reactions
35 Replies
9K Views
Habari wakubwa nilikuwa natafuta sehemu ninayo wez kujifunza graphics design na photography kwa dar es salaam mwenye kujua naomba msaada tafadhari
1 Reactions
3 Replies
757 Views
Kampuni ya Xiaomi ambayo inajihusisha na kutoa bidhaa mbalimbali za kichina ulimwenguni , sasa wameingia kwenye soko la kutengeneza na kuuza magari ya Umeme Electric vehicle (Ev). Xiaomi walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Katika ulimwengu wa leo wa simu smartphone, zimepelekea makampuni kulenga na kuunganisha teknolojia mpya ya muundo wa kisasa uitwao “sleek design”, huduma za juu kama uwezo mkubwa wa memory katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu na wataalaamu wa phone security, Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack? Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wanajamvi! Poleni na mahangaiko ya kupambana na maisha. Kama title inavyojieleza, naombeni msaada kwa anayeweza kunielekeza namna ya kurudisha account yangu ya Facebook ya biashara ambayo...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakubwa na wa Penzi wa Jukwaa hili natumai hamjambo na mnaendelea vyema na Majukum ya ujenzi wa Nchi na Dunia yetu kwa Ujumla. Leo nimeona Nije na wazo,kwa kila member anae tumia Iterm ya Google...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Kampuni ya Meta kupitia mtandao wa thread wameleta feature ya watu kuwa na uwezo wa kufuta akaunti yake au kuificha kwa urahisi sana bila kufuta akaunti ya Instagram. Hii ni feature mpya ambayo...
0 Reactions
0 Replies
483 Views
Habari Naomba nisisitize kama haupo kwenye tasnia tajwa hapo juu uzi haukuhusu unless uwe mdau mwenye nia ya kusapoti mawazo chanja. Niende kwenye point, Ninataka ku establish forum/hub ambayo...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Ninaomba kusaidiwa kutuma sms nyingi sana bila kuonesha namba yangu, ikiwezekana litokee jina tu nitakalolipenda. Natanguliza shukrani kwenu.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba msaada. Nimeibiwa simu,naomba msaada kama naweza kuitafuta kwa mtandao na kuipata.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Moja Kati ya vijana waliofanya mapinduzi makubwa ya teknolijia kwenye umri mdogo ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kampuni ya Silicon Valley na Open Ai Mr Sam Altman amepokonywa cheo chake siku ya...
0 Reactions
3 Replies
554 Views
Morning Guys Naamini tupo sawia na wale wa Daslam mnajiandaa na bonge la party J'pili [emoji38][emoji38] Kichwa cha habari chahusu. Kama wewe ni mpenzi wa bus simulator Indonesia au mpenzi wa...
6 Reactions
112 Replies
37K Views
Back
Top Bottom