Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,283
- 2,590
Moja Kati ya vijana waliofanya mapinduzi makubwa ya teknolijia kwenye umri mdogo ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kampuni ya Silicon Valley na Open Ai Mr Sam Altman amepokonywa cheo chake siku ya ijumaa.
Mr Altman kilichomkuta ni kuondoshwa kuwa mkurugenzi mkuu wa Chat Gpt baada ya kuonekana kuwa na mawasiliano mabovu na bodi ya wakurugenzi. Kutokuwa mwaminifu kwenye mawasiliano mara kwa mara na wenzake pamoja udanganyifu alioufanyia dhidi ya bodi.
Kampuni ya Open Ai imemuondoa Sam Altman ndani ya Muda fupi baada ya malalamiko mengi kutokea ndani ya kampuni kupitia wafanyakazi kazi wenzake juu ya Usalama wa Matumizi ya software ya Akili bandia ndani ya kampuni.
Wengi waliweza kumlalamikia kuhusu usalama wa akili Bandia kwenye Matumizi ya watu hivyo wafanyakazi waliweza kumwambia anaangalia sana maslahi ya software kuliko Usalama wa watumiaji.
Wengi wanasubiri Microsoft watasemje kuhusu hii suala maana Microsoft wameingia Ubia na hiyo kampuni ya OpenAi alafu hawajasema chochote.