Kutuma SMS nyingi bila kuonesha namba yangu

Kutuma SMS nyingi bila kuonesha namba yangu

nnauje

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
26
Reaction score
12
Habarini ndugu zangu,

Ninaomba kusaidiwa kutuma sms nyingi sana bila kuonesha namba yangu, ikiwezekana litokee jina tu nitakalolipenda.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
Kwa Tz labda uingie makubaliano maalumu na mtoa huduma wako (mitandao ya simu), la sivyo ni kosa kisheria ingawaje inawezekana.
 
Habarini ndugu zangu ,ninaomba kusaidiwa kutuma sms nyingi sana bila kuonesha namba yangu ,ikiwezekana litokee jina tu nitakalolipenda.
Natanguliza shukrani kwenu
Bulk SMS inaitwa.

Wasiliana na mtoa huduma wako au wapo wengine kama fasthub n.k

Reminder: sms hizo zinalipiwa kwa credit , sio kifurushi. Let say unauziwa sms moja ya 20/=

Fasthub

Aptus

NextSMS
 
Bulk SMS inaitwa.

Wasiliana na mtoa huduma wako au wapo wengine kama fasthub n.k

Reminder: sms hizo zinalipiwa kwa credit , sio kifurushi. Let say unauziwa sms moja ya 20/=

Fasthub

Aptus

NextSMS
Je njia ya Kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja Bure
 
Back
Top Bottom