๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ถ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—จ๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ

๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ถ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—จ๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,291
Reaction score
2,610
View attachment 2820610


Kampuni ya Xiaomi ambayo inajihusisha na kutoa bidhaa mbalimbali za kichina ulimwenguni , sasa wameingia kwenye soko la kutengeneza na kuuza magari ya Umeme Electric vehicle (Ev).

Xiaomi walikuwa Wana subiri leseni Toka china tayari wamekubaliwa hivyo wameachia picha kadha kuhusu gari lao jipya la kuchaji ambalo linaitwa Xiaomi Su7 lenye model namba BJ7000MBEVR2 na BJ7000MBEVA1 ambalo liko Class C.

View attachment 2820611

[emoji302] gari Hilo lina motor Toka united Automative electronic systems (UAES) lenye uwezo wa kutoa nguvu mpaka kufikia 220KW (295hp).
[emoji302] inatumia betri la lithium iron phosphate (Lpt).
[emoji302] pia gari hiyo Ina teknolijia ya LiDAR itayoweza kmsaidia dereva kupata msaada wakati anaendesha autonomous feature.

View attachment 2820613

[emoji302] Ina urefu wa 4,997mm , upana 1.963mm inafanya kuwa gari lenye umbo kubwa zaidi kuliko Tesla model 3 na Nio ET5.
[emoji302] Inachukua dakika 30 kujaa chaji kabisa 0 mpaka asilimia [emoji817].

View attachment 2820612

xiaomi-5.jpg



[emoji302] Unaweza kwenda morogoro, kigoma na kurudi dar bila kuisha chaji.
[emoji302] unaweza tumia Uso kufungua, gari , fingerprint nk.

Inatarajiwa kuanza kutumika ulimwenguni mwaka 2024 February wakati mwaka huu 2023 desemba itaanza majaribio Kwanza china.
 
Back
Top Bottom