Marcovicsavic
Senior Member
- Nov 14, 2020
- 130
- 298
Habari
Naomba nisisitize kama haupo kwenye tasnia tajwa hapo juu uzi haukuhusu unless uwe mdau mwenye nia ya kusapoti mawazo chanja.
Niende kwenye point,
Ninataka ku establish forum/hub ambayo itakusanya Developers na IT wa Tanzania sehemu moja ,
Forum ambayo Changamoto na updates zote zitakua shared na kutazama namna gani tunaweza kuzi fikisha kwenye mamlaka husika au kuzitatua kama zipo ndani ya uwezo wetu.
Kwanini nataka hivyo.
Sababu ni kuwa na sauti ya pamoja yenye nguvu , pia kuwa na sehemu ambayo tunaweza kushare mawazo na idea sisi kwa sisi kama developers na watu wa Tech wa Tanzania ,
Hii ita turahishia hata kuwa na product(open source) za kitaifa , ambazo zinaweza kufanyika in collaboration ,na ku solve mambo mengi.
Zilizopo hazitoshi?
Forum na hub nyingi zilizopo ni za wordwide, mfano github , stack overflow ni sehemu ambazo yes Developer unawez kuta changamoto yako na kupata majibu ila zipo zile ambazo zipo kwa nchi yetu tu ambazo kimsingi huwezi pata solution kule,
Pia huwezi kuongea lugha moja na developer alie india, kuna vitu kwenye ground havimatch ndio maana kuna wakati unaangalia toutorials unafata steps zote na bado hazi code work ,
Mwisho ni michongo
Ukiwa IT , una maisha magumu sababu ya kukosa ajira kwa kiasi fulani ni uzembe ila ukiwa na taarifa sahihi unaweza kufunguka na maisha yakendelea ..
Hivyo kama upo kwenye kundi hilo basi tumia email [director@kingosr.tech] kunipa wasifu wako ili tuome namna ya ku move na hili wazo ,
Unaweza ongeza wazo lako pia!