๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ธ๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—œ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ป๐—ถ๐˜… ๐—ก๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ ๐—ฉ๐—ถ๐—ฝ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Moja Kati ya simu Bora ya kutumia kwa mwaka 2023 Toka kampuni ya Infinix ni hii Infinix Note 30 Vip, ambayo imeachiwa June 30 mwaka huu ikiwa na feature kedekede ndani yake Leo nakuambia kadhaa usiache kuitafuta.

View attachment 2821553

Kwanza imekuja ikiwa na betri la lipo lenye 5000 mah ikiwa na 68W Teknolijia ya fast charging ambayo Toka asilimia 1% mpaka 80% ndani ya dakika 30 tu.

Pia imekuja na teknolijia ya reverse charging unaweza kusambaza upendo kwa kuwatumia wenzako asilimia za chaji ikiwa simu zao hazina chaji Toka 1% mpaka 50% kwa ndani ya dakika 30.

View attachment 2821551

Simu hii inatumia Processor ya MediaTek Dimensity 8050 hii ni processor nzuri kwa wazee wa gaming, picha , video na mitandao ya kijamii ukitumia una enjoy sana bila shida yoyote bila kusahau kioo chake ni Amoled Display very smooth wakati unatumia..

View attachment 2821552

Kwenye upande wa Sound hii simu ni balaa asikuambie mtu content creator mnaweza kutumia hii kwanza Ina speaker za Jbl wakati unaangalia movie, unajirekodi au kusikiliza kitu watu wanaweza sema uko studio Nini kumbe Note 30 Vip.

View attachment 2821554

Kwenye kamera Sina mashaka nayo Ile tabia ya kuleta ukunguukungu kwenye picha kwisha habari yake hii inatoa picha Kali bomba Ina 108mp + 2mp ikiwa na sensor yenye kutoa picha kwa uwalisia kabisa kwenye mazingira yoyote bila kusahau Led Flash .

View attachment 2821555

Usijali kuhusu kurekodi video zinatoka kwa ubora ikiwa na teknolijia ya kuzuia video kucheza cheza wakati una rekodi bila kusahau hii simu ina teknolijia ya 5G kwenye kuperuzi mtandaoni inatumia android version 13 na 14.

Note30Vip%20%E2%80%93%204.jpg
 
View attachment 2821556
bei?
 
Back
Top Bottom