Msaada tafadhali, nimeibiwa Lumia 1320 naweza kui trace?

ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,028
2,000
Wanajamvi naomba msaada. Nimeibiwa simu,naomba msaada kama naweza kuitafuta kwa mtandao na kuipata.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,091
2,000
Ingia website ya windowsphone just google hilo neno kisha sign in na acount yako then nenda find my phone ujaribu bahat yako kama hawajaireset
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom