Tips and tricks of Google Compact

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Wakubwa na wa Penzi wa Jukwaa hili natumai hamjambo na mnaendelea vyema na Majukum ya ujenzi wa Nchi na Dunia yetu kwa Ujumla.

Leo nimeona Nije na wazo,kwa kila member anae tumia Iterm ya Google aje apande Hapa Jukwaani akisifu ustady wake na jinsi anavyo tumia katika shughuli zake.

Mano;wa bidhaa zao Google
1.Google Map2
2.Google Drive
3.Google Chrome
4.Google Tv
5.Google Mail.
6.Google Tv
7.Google meet

Wajuvi waje na sifa pia umuhimu wa kila mtumiaji binafsi anavyo Faidika.
 
Back
Top Bottom