Napata wapi sehemu ya kujifunza graphics design na photography

Gabb_y

Member
Jul 14, 2019
18
18
Habari wakubwa nilikuwa natafuta sehemu ninayo wez kujifunza graphics design na photography kwa dar es salaam mwenye kujua naomba msaada tafadhari
 
Njia nzuri ni kuanza kujifunza kupitia YouTube, halafu utafute mtu au watu ambao tayari wako kwenye industry ya photography na graphics design wakupe ujuzi zaidi. Ikiwezekana mtafute mtu instagram umuombe uwe msaidizi wake ushike hata reflector
 
Njia nzuri ni kuanza kujifunza kupitia ya YouTube, halafu utafute mtu au watu ambao tayari wako kwenye industry ya photography na graphics design wakupe ujuzi zaidi. Ikiwezekana mtafute mtu instagram umuombe uwe msaidizi wake ushike hata reflector
Sawa kaka nimekupata nashukuru kwa ushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom