๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ต๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฑ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Kampuni ya Meta kupitia mtandao wa thread wameleta feature ya watu kuwa na uwezo wa kufuta akaunti yake au kuificha kwa urahisi sana bila kufuta akaunti ya Instagram.

Hii ni feature mpya ambayo itakupa uwezo wa kuondoa akaunti yako ya mtandao wa threads bila kuathili akaunti ya Instagram ambapo ilikua wakati unataka kujiunga na huo mtandao lazima utumie akaunti yako ya Instagram.

Sasa utaweza kufuta tu akaunti yako Moja kwa Moja au unaweza kuificha na kurudisha kwa baadae ukipenda fanya hivi
Fungua app ya threads
Ingia kwenye profile yako Kisha setting
ingia kwenye akaunti utaweza kuona neno delete au deactivate akaunti utachagua unahitaji Nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom