Urefu wa Miaka ya Dunia unabadilika kila baada Muda kipindi Cha Miaka ya dinosaur (wale wanyama wakubwa ulimwenguni) kulikua ni kipindi ambacho Dunia ilikua na masaa 23hrs.
Mabadiliko ya Sayari...
Kuna ripoti inaonyesha toleo jipya la iOS 18 litakapo Toka litaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu watu kuweza ku install app nje ya app store kwa urahisi.
Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu za...
Habari wakuu
Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga.
Msaada wakuu ili niwe hewani.
Kampuni ya mawasiliano ya simu nchini south Paratus wameshirikiana na waendeshaji wa Satellite ya Eutelsat wametangaza huduma ya mtandao wa satellite wa One web low Earth Orbit (Leo) nchini Afrika...
Kampuni kongwe ulimwenguni Nokia wataweza kuachia simu mpya ya Smartphone aina ya Nokia 1100. Ni simu ambayo iliwahi kuachiwa zamani ila sasa wameamua kuifanyia mabadiliko kuwa ya kipekee.
Hata...
salam wakuu.
katika pitapita zangu hapa jamvini nimeona wadau wakigusia uwezekano wakufunga antena kwenye smart TV na ukatumia built in decoder kutazama baadhi ya chanel za ndani na za nje bila...
Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo...
Nilianza safari ya Youtube mwaka mmoja uliopita. Wiki iliyo pita nimefikisha 4000+ watch hours na subscribers zaidi ya 1000!
Mpaka nakua monetized nlikua na jumla ya public videos 44 zenye...
Mwanzoni octoba android waliweza kuachia mfumo wao mpya wa android version 14 kwa simu za Google pixel na Samsung lakini kuanzia mwezi huu Novemba na kuendelea Android version 14 inaachiwa...
Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database.
Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS
Na huu ndiyo code yangu ya HTML
<!DOCTYPE html>
<html...
India imeendelea kufanya maajabu katika maendeleo yake ya ya kisayansi katika kuifikia anga ya juu kutokana na Kuvutiwa upya na sehemu ya anga kunaunda fursa za ukuaji wa maili milioni kwa...
Moja kati ya kichocheo kikubwa Cha msingi wa maendeleo ya kiuchimi ulimwenguni ni Umeme , nchi nyingi za kiafrika Zinajitahidi sana kufanya Kazi kwa bidi ili kuboresha miundo mbinu ya nishati...
Naomba kufahamu kwa undani yafuatayo!!!
Internet ni nini?
Nani mmiliki wa internet?
Nini faida za internet?
Nini hasara za internet??
Napenda sana kufahamu zaidi juu ya yote hayo,
naomba...
Siku ya Alhamic kampuni ya meta kupitia mtandao wa Whatsapp wameweza kutambulisha mfumo mpya wa watu kuweza kutumia akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.
Sasa utaweza kuunda akaunti zaidi ya moja...
Whatsap wako Kwenye Majaribio ya kuleta uwezo wa watu kuficha utambulisho wao Kwenye Whatsapp.
Whatsapp wanaongeza ulinzi kwa kuleta feature ya kuzuia watu kujua location yako wakati unatumia...
Nina shida na window ambayo haina shida Maana nahangaikia Window mwezi wasita huu.
Jana kuna Window nimepata ila nikiconnect wifi PC inajizima, pia kila software nayo download inagoma kufunguka...
Habarini wakuu,
Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote.
Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.